David Moyes; kushindwa kuwajibika kwa wachezaji, kumeitoa Man Utd kwenye...
Meneja wa klabu ya Man Utd David Moyes, amesema makosa ya kipuuzi yaliyofanywa na wachezaji wake wakati wa mchezo wa dhidi ya FC Bayern Munich yaliwagharimu na kujikuta wakikubali kufungwa mabao matatu...
View ArticleNahodha wa timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania asema mafanikio yao...
Nahodha wa timu ya watoto wa mitaani ya hapa Tanzania iliyonyakua kombe la dunia jumapili amesema mafanikio yao yalitokana mazoezi makali na hali ya kujituma. Nahodha huyo kwa jina Deogratius amesema...
View ArticleMASKINI MTOO HUYU AMENASWA NA RISASI KICHWANI.
March 23 2014 lilivamiwa kanisa moja huko Mombasa Kenya watu wakiwa katikati ya ibada ambapo waliovamia walitekeleza mauaji kwa risasi huku miongoni mwa waliouwawa akiwa ni mama wa mtoto huyu aitwae...
View ArticleRais Wa Young Money Akanusha Kumpa Dili Msanii Wa Hiphop Anayeimbia Mashoga.
Rais wa record lebel ya Young Money Mack Maine ametumia twitter kutoa taarifa kuwa hakuna msanii aliyepewa mkataba wa kazi na YMCMB hivi karibuni.Mack amebidi afanye hivyo baada ya kusamba wa taarifa...
View ArticleHii Ndio Kauli ya Mbeya City dhidi ya tuhuma ya kuhongwa na Azam FC.
Taarifa waliyoitoa inaanza kwa kusema >> Kwanza nachukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati wapenzi wote wa mchezo wa mpira wa miguu na wapenzi wa Mbeya City Fc popote pale walipo kwa kuiunga mkono...
View ArticleAngalia huyu dereva alivyonusurika kusombwa na maji.
Ni dereva wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngororngoro akiwa amepanda mti baada ya gari alilokuwa anaendesha kusombwa na maji, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha.
View ArticleJua Kali kuanza kuingia kwenye sekta ya Filamu.
Kila binadamu anakipaji chake kinaweza kikawa cha kuimba, kugiza au sarakasi na vingine vingi lakini hii inatoka kwa Mkali wa Genge kutoka Nairobi Kenya ambaye kwa sasa anataka kujikita katika uigizaji...
View ArticleKutana na Shabiki Anayefanana Na Michael Jackson.
Kwa mbali ukiambiwa The Jackson 5 ndio hawa utakubali kuwa ni Michael Jackson yupo nao kumbe ni shabiki aliyebadilisha muonekano na maisha yake kuendana na Michael Jackson. Kaka wanne wa Michael...
View ArticleBaada ya mashambulizi ya kigaidi kuzidi Kenya, haya ni maamuzi mapya ya...
Serikali ya Kenya imetangaza kununua magari yasio penya mabomu wala risasi ili yasaidie kupambana na magaidi na wezi wa mifugo nchini humo ambapo katika bajeti ya mwaka huu itanunua helikopta ya kisasa...
View ArticleMTOTO WA MIAKA 14 AMUUA MUMEWE WIKI 1 BAADA YA NDOA.
Msichana mwenye umri wa miaka 14 kutoka Kaskazini mwa Nigeria huko Kano amekiri kumuua mwanaume alimuoa kilazima kutokana na shinikizo la wazazi uamuzi ambao hakuridhishwa nao kabisa.Wasilu Umar...
View ArticleTB JOSHUA: UTABIRI WAKE WATIMIA: NIGERIA KUWA NUMBER 1 KIUCHUMI.
Prophet TB Joshua alitabiri mwaka jana kwamba Nigeria itakua ya kwanza kiuchumi kushinda nchi zote za Africa.Wakati anatabiri. ..nilikua nikiangalia nchi ya Africa Kusini, Misri etc.....niliwaza...
View ArticleHuyu Msanii apost picha akiwa mtupu kwenye Instagram,aweka taulo pembeni.
Miley Cyrus ameamua kuwa mwehu kivyake na kuvunja maadili bila kuogopa lolote litakalosemwa juu yake kwa kupost picha akiwa mtupu kwenye Instagram.Leo (April 11), mwimbaji huyo amepost picha akiwa...
View ArticleMashujaa wa Tanzania watinga bungeni.
Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania iliyotwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani nchini Brazil baada ya kuifunga Burundi mabao 3-1 kwenye fainali imetambulishwa jana (Aprili 11 mwaka huu) katika...
View ArticleMechi Ya Simba Na Ashanti UTD Imehairishwa Hadi Kesho Jumapili April 13.
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kupitia Ofisa wa habari na Mawasiliano Bw.Boniface Wambura ametangaza kuwa Mechi ya raundi ya 25 ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Ashanti United...
View ArticleUJIO MPYA WA MAKAMUA UKO HAPA.
Moja kati ya Artist ambaye alifanya poa kupitia ngoma kama rudi nyumbani, unamfahamu kama Makamua kutoka Wakali Kwanza kwa sasa amefanya ngoma yake pale Legendary Music ambayo inaitwa ‘Nitakulinda’...
View ArticleMAAJABU YA MWENYEZI MUNGU,TAZAMA VIDEO YA HAWA MAPACHA WALIOJIUNGA.
Conjoined twins Shivanath and Shivram Sahu
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo April 12 2014.
..............................Credit:Millardayo.com
View ArticleHuyu ndio mchezaji wa Chelsea aliyesema anategemea kuondoka Chelsea kabla ya...
Mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba amefunguka na kusema maneno ambayo yanaweza kuwa mwiba kwa baadha ya wapenzi wa Chelsea.Ba amesema kwamba kuna asilimia kubwa anaweza kuondoka Chelsea mwishoni mwa...
View Article