![]()
Moja kati ya Artist ambaye alifanya poa kupitia ngoma kama rudi nyumbani, unamfahamu kama
Makamua kutoka Wakali Kwanza kwa sasa amefanya ngoma yake pale Legendary Music ambayo inaitwa ‘Nitakulinda’ akiwa na swahiba wake Joslin.. Muda wowote ngoma inaweza ikatoka.