Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

TB JOSHUA: UTABIRI WAKE WATIMIA: NIGERIA KUWA NUMBER 1 KIUCHUMI.

$
0
0
Prophet TB Joshua alitabiri mwaka jana kwamba Nigeria itakua ya kwanza kiuchumi kushinda nchi zote za Africa.

Wakati anatabiri. ..nilikua nikiangalia nchi ya Africa Kusini, Misri etc.....niliwaza sana.
Jana Imetangazwa kuwa kwa sasa Nigeria inaongoza katika Uchumi Africa.

Kweli huyu Baba ni Mtumishi wa Mungu wa karne hii.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles