Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Huyu Msanii apost picha akiwa mtupu kwenye Instagram,aweka taulo pembeni.

$
0
0
Miley Cyrus ameamua kuwa mwehu kivyake na kuvunja maadili bila kuogopa lolote litakalosemwa juu yake kwa kupost picha akiwa mtupu kwenye Instagram.

Leo (April 11), mwimbaji huyo amepost picha akiwa amevaa taulo jeupe huku akitengenezwa nywele, taulo hilo likiwa ndilo vazi pekee lililomwilini mwake na kuandika “#TBT (2hours late but whatevzzzz).
Lakini baada ya muda kidogo alipost picha ya pili ambapo aliamua kushusha taulo chini na kufunika maziwa yake na mkono wake wa kushoto na kuandika “"which means it's technically #FBF #selfieoverload #iphonestorageatfullcapacity #goingthrudeletings--t #akastrollingdownmemorylane."

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles