$ 0 0 Ni dereva wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngororngoro akiwa amepanda mti baada ya gari alilokuwa anaendesha kusombwa na maji, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha.