HUYU MSANII WA FILAMU ZA BONGO AMESEMA AACHWE AVAE ATAKAVYO.
“Waniache bwana, sijakataa kama mimi ni mke wa mtu lakini pia nipewe uhuru kwani najitambua,” alisema.Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel pichani.Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti chetu,...
View ArticleKABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN LAFUKULIWA.
Makaburi mawili ya Sheikh Yahya Hussein na Sheikh Kaseem Bin Jumaa yamevunjwa na mgambo wa jiji saa nane usiku eneo la Tambaza, makaburi ambayo yana muda mrefu katika eno hilo.Hata hivyo haijajulikana...
View ArticleJOHARI AFUNGUKA "OSTAZ HANA PESA WA HADHI YA KUNIOA MIE"
Staa mkubwa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameingia kwenye vita ya maneno na bosi wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo alipotangaza...
View ArticleKAZI KWELI KWELI KATIKA BUNGE LETU!
Ni kama anasema "Mzee embu weka pozi moja kali hapo nikufotoe picha kali ya kuweka Facebook , Hapo hapo Kaka...."
View ArticleETI HUYU DADA NDIO KIBOKO WA AGNES MASOGANGE.
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana...
View ArticleGari Na Shetta Baada Ya Ajali Iliyosababisha Gari Kupinduka Mara 3.
Msanii Shetta jana mida ya saa kumi na mbili jioni amepata ajali mbaya ya gari eneo la Minjingu/Monduli akiwa anaendeshwa kwenye gari aina ya Noah. Imegundulika na MrInfo kuwa ajali hii imemsababishia...
View ArticleMakundi Ya Nusu Fainali Ligi Ya Mabingwa Ulaya Ndio Haya.
Makundi Ya Nusu Fainali Uefa yamepangwa na game zitaanza April 22, Bayern Munich itacheza na Real Madrid, Chelsea inakutana na Atletico Madrid katika game za nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya,...
View ArticleDownload Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Wagosi Wa Kaya – Bao.
Wagosi Wa Kaya wamevunja ukimya baada ya miaka 8 bila kuwa na wimbo wao pamoja,Wagosi kwenye interview na MrInfo, wamesema hawajarudi kwenye game sababu ya kampeni za uchaguzi iliwapate show ila ndio...
View ArticleWatu 56 wanusurika ajali ya ndege Dar.
Watu 56 wamenusurika baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Kenya(Kenya Airways) waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam(JNIA)...
View ArticleMWISHO MWAMPAMBA NA UJUMBE MZITO FACEBOOK.
Huenda mwakilishi wa mara mbili wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Mwisho Mwapamba anaufurahia zaidi wimbo wa Pharrell Williams, ‘Happy’ kuliko mtu mwingine yeyote.“Nashukuru sanaa...
View ArticleJUMA NATURE ALIA NA JOKATE MWEGELO.
Chelewa chelewa, utakuta mwana sio wako!! Ndicho kilichotokea kwa Juma Nature ambaye wazo lake la kuanzisha ndala liliendelea kuwa la mdomoni na ‘kutalk the talk’ ilhali Jokate Mwegelo akileta action...
View ArticleHALI INAZIDI KUWA MBAYA DARAJA LINALOTENGENISHA DAR NA BAGAMOYO LAVUNJIKA.
Daraja linalotengenisha Dar es salaam na Bagamoyo lililopo maeneo ya Bunju B limevunjika na kufanya kutokuwepo mawasiliano kati ya Dar na Bagamoyo....Nimepata habari kuwa mtu wa Bagamoyo akitaka kuja...
View ArticleMAFURIKO YAZIDI KUITESA JIJI LA DAR! ONA MAMBO YALIVYO KWA SASA.
Mburahati na Mayfair leo asubuhi.Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar esSalaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam...
View ArticleVYAKULA VINAVYOONGOZA KUONGEZA AKILI KWENYE UBONGO.
BILA shaka ubongo ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache sana wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na utendaji kazi wote wa mwili na ndiyo unaowezesha...
View ArticleWEMA NA DIAMOND SASA KWENDA MAREKANI.
Jamany wema sepetu atakufa kwa presha, baada ya msanii diamond the platnumz kupata show nchini marekani, wema sepetu aamua kumsindikiza mpenzi wake kwenye show.hiyo, Gossip, yaani chini yacarpet...
View ArticleLady Jay Dee alazimika kuahirisha uzinduzi wa audio na video ya 'Nasimama'
Mvua inayoendelea kunyesha kwa wingi katika eneo la Dar es Salaam na maeneo mengine nchini imeripotiwa kusababisha athari kubwa ikiwa ni pamoja na uharibifu wa makazi na miundo mbinu.Hali hiyo...
View ArticleThe Game aamriwa kutomsogelea mama watoto wake baada ya kutuhumiwa kumpasua pua.
Tuhuma zinazomkabili rapper The Game, kumpiga na kumpasua pua mchumba wake wa zamani ambaye ni mama wa watoto wake Tiffney Cambridge zimepelekea mahakama kumpangia umbali wa kumsogelea.Kwa mujibu wa...
View ArticleTazama Video Mpya ya Queen Darleen Feat. Shilole- Wanatetemeka.
Angalia video ya wimbo mpya wa Queen Darleen amemshirikisha Shilole, unaitwa Wanatetemeka.
View ArticleQ Chilla aelezea ujio wake mpya na collabo za kimataifa alizofanya, anafanya...
Mwimbaji mkongwe wa bongo fleva, Q Chilla amejipanga kurudi kwa nguvu kwenye game baada ya kutoka kwenye wakati mgumu wa athari zilizotokana na matumizi ya dawa za kulevya.Q Chilla ameiambia tovuti ya...
View ArticleKutana na Binti Wa Rais Kagame Ni Mmoja Ya Watoto Wazuri Wa Marais Africa.
Anaitwa Ange Kagame, ni mtoto wa pili na wakike pekee wa Rais wa 6 wa Rwanda Paul Kagame, mama yake anaitwa Jeannette Nyiramongi na ndiye first lady wa Rwanda.Ange hajalelewa nchini Rwanda, ameishi...
View Article