BENKI KUU YA TANZANIA YATOA SARAFU YA 50,000/-
Gavana wa BoT, Profesa Benno NduluBENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000. Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu,...
View ArticleRAY C AFUNGUKA KUHUSU JACKIE CLIFF ANAEDAIWA KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA...
Awali Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na vyombo vya dola nchini humo bila kuandika chochote.lakini mizuka ya kufunguka ilikuja kupanda baada ya baadhi ya followers wake...
View ArticleTUSIMLAUMU JACKIE CLIFF...TUMLAUMU ALIYE MFUNDISHA KUVUA SAMAKI.
Jackie Cliff… mrembo wa haja niliyeanza kumfahamu kwenye video ya She Got A Gwan ya Ngwair. Ni msichana aliyeenda hewani na Mungu kampelea haswaa. Ukikutana naye huwezi kumwangalia mara moja...
View ArticleNAPE:LOWASA KAPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS.
Sakata la Nape na lowasa limeendelea baada ya Nape jana kumwambia kwa kutangaza nia kabla ya wakati wake amepoteza sifa ya kuteuliwa kupitia chama cha mapibduzi.maoni yangu: Nabe acha kushindana na...
View ArticleMMH HAPA YALIKUWEPO MAPENZI KWELI?
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!! Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!! From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we...
View ArticleSHOGA WA KIUME ANATAKA KUNIHARIBIA NDOA..MSAADA JAMANI.
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila sikuNimejaribu kumkanya...
View ArticleDIAMOND AISIFIA NGOZI YA WEMA SEPETU ASEMA INA MVUTO NA MNG'ARO ZAIDI YA KITU...
“Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri yenye afya na iliyo na mng’aro kama alivyokuwa awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa kutumia dawa za kung’arisha ngozi hilo ndilo lililonivutia zaidi kwani...
View ArticleTAZAMA PICHA 6 ZA MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA AKIWA NDANI YA JELA NCHINI HUMO.
Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?.Jibu lake ni kwamba msanii huyu anajiandaa kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.Wimbo huo ilikupata video...
View ArticleHUYU NDIYE MWANAMKE WA KIZUNGU ANAEDAI ALIKUFA NA KWENDA MBINGUNI KISHA...
Kituo cha TV cha CNN ambacho kimeshinda tuzo kutokana na ubora wa kazi ya kutangaza habari wanayoifanya toka kuanzishwa kwake mwaka 1980, kimetoa ripoti ya Watu watatu wenye ushuhuda wa maisha yao...
View ArticleMKE AMTIA UPOFU MUMEWE ...SOMA MKASA HUU WA KUSIKITISHA NA MAPICHA.
Mimi ni mzaliwa wa kijiji cha Hoyoyo Mkuranga kwa sasa hari yangu sio nzuri kutokana na Maradhi ya Macho nikimaanisha ni Kipofu tangu mwaka 2008, lakini hapo kabla nilikuwa ni mzima na Matatizo...
View ArticleMAMBO 10 YA KUZINGATIA KATIKA MAPENZI YAKO HAPA.
1. Wivu Wa KupindukiaNi Jambo Jema Kwa Mwanamume Kumtakia Heri Mpenzi Wake Na Kufanya Kila Awezalo Kuhakikisha Kuwa Hapati Madhara, Lakini Iwapo Utakuwa Mtu Wa Wasiwasi Na Mashaka Pale Unapomwona...
View ArticleKauli ya Chadema juu ya kesi baina yao na Zitto Kabwe.
Bado kesi inayowakabili Chadema na mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haijatoka hukumu baada ya jaji kuahirisha kesi hii ambayo imeonekana ina msuguano wa kisheria pande zote mbili,upande wa...
View ArticleNIMESIKITISHWA NA CHADEMA KUKODI VIJANA WA KUMZOMEA ZITTO LEO MAHAKAMANI.
Nimehuzunishwa sana na nimesikitika chadema kukodi vijana ambao wamekiri wazi kulipwa ili kwenda kumzomea mh zito, hili bila kukemewa ni hatari kwani inajenga chuki kubwa baina ya wapenzi wa chadema....
View ArticleMHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU.
Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani.Pastor Frank Kabele...
View Article''Hakuna raha duniani kama kuwa Mama''Rose Ndauka.
Muigizaji wa kike nchini, Rose Ndauka amesema hakuna raha kubwa duniani kama ile anayojisikia mwanamke pindi awapo mama.Ndauka aliyejifungua mtoto wa kike Desemba 29 katika hospitali ya taifa Muhimbili...
View ArticleJux aongea kwa mara ya kwanza tangu mpenzi wake Jackie Cliff akamatwe na...
Muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux amefunguka kwa mara ya kwanza tangu mpenzi wake Jackie Cliff akamatwe na madawa ya kulevya aina ya heroin huko Macau, China, December mwaka jana.Jackie alikamatwa na...
View ArticleMariah Carey kuwapa zawadi wapendanao siku ya wapendanao 'Valentine's Day'
Mwaka 2014 umeshaaanza ikiwa ni siku ya tatu, matukio muhimu katika kalenda inabidi yapigiwe mstari ama kuwekewa alama yasisahaulike.Mwimbaji wa nyimbo nzuri za mapenzi Mariah Carey ametangaza kuwapa...
View ArticleJE WAJUA LIONEL MESSI ALISHAWAHI KUTUA BONGO NA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO!!...
>>Gonga like Yako Hapa ili Upate Story Za Nguvu>>
View ArticleMwalimu Asimamishwa Kazi kwa Kusema “Hatutaki Rais Mwengine Mweusi Marekani”
Mwalimu mmoja toka Kusini Magharibi mwa Ohio ambaye alimjibu Mwanafunzi wa Shuleni kwake mara baada ya kusema angependa kuja kuwa Rais na kisha mwalimu huyo kumjibu kuwa Taifa hilo halihitaji kuwa na...
View ArticleTajiri mkubwa zaidi Afrika aunza mwaka kwa kujiunga na Twitter na kuiandika...
Mwaka 2014 umeanza na mabadiliko kwa tajiri mkubwa zaidi Afrika, Aliko Dangote aliyeamua kujiunga na mtandao kwa kijamii wa twitter ili aweze kufanya mazungumzo na watu wengi duniani kwa wakati...
View Article