2face apata mtoto wa saba, wa kike, ni wa pili kwa mkewe Annie.
Muimbaji wa Nigeria, 2face Idibia na mke wake Annie Idibia wamepata mtoto wa pili – wa kike. Annie Idibia alijifungua mtoto huyo January 3, 2014 kwenye hospitali ya Atlanta, Georgia, Marekani. Meneja...
View ArticleFlaviana Matata kutengeneza mabegi ya shule kwaajili ya wanafunzi.
Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata anatarajia kuanza kutengeneza mabegi ya kubebea vitabu na madaftari kwaajili ya wanafunzi nchini. Mabegi hayo ni sehemu ya mradi wake wa kutengeneza vifaa vya...
View ArticleDMX aiombea show yake isitokee mtu akapigwa risasi, ni katika jiji hatari...
Siku kadhaa baada ya DMX kuanza kupiga shows zitakazomsaidia kupona vidonda vya kufulia, mkali huyo ameendelea kushikilia imani yake na kupiga maombi na timu yake yote kabla hajafanya show ili mambo...
View ArticleBrigitte Alfred (Miss Tanzania 2012): Nawekeza hela yangu kwenye ardhi.
Wakati ambapo mastaa wengi wa kike wa Dar es Salaam wanakimbilia kununua magari ya kifahari, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred anafikiria tofauti. Mrembo huyo anawekeza hela yake kwenye...
View ArticleDillish (mshindi BBA8) amnunulia mshiriki wa Ghana, Elikem pikikipi ya tshs...
Mrembo wa Namibia na mshindi wa Big Brother Africa The Chase, Dillish amemnunulia mwakilishi wa Ghana kwenye shindano hilo la mwaka jana, Elikem, pikipiki ya kifahari yenye thamani ya dola za...
View ArticleBritney Spears awachukiza fans waliolipia takribani million 4 kukukutana...
Mkali wa Pop, Britney Spears anaripotiwa kuwakwaza mashabiki wake waliokuwa na kiu ya kukutana na kupiga picha na star huyo, hivyo kulipia $ 2500 (zaidi ya shilingi za kitanzania milioni tatu na laki...
View ArticleHii ya bangi kuruhusiwa kisheria, cheki watu kwenye foleni kuinunua na maduka...
Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja waliojinunulia bangi yao toka ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani ambapo hii picha walikua wakiukaribisha mwaka mpya 2014.Kwenye hii picha hapa juu na hii ya...
View ArticleLudacris acheza faulo nje ya uhusiano wake.
Licha ya kuwa kwenye uhusiano ya muda mrefu na mchumba wake Eudoxie, Ludacris bado amecheza faulo nje ya uhusiano wao.Hivi karibuni habari zimetoka kwamba Ludacris amepata mtoto nje ya uhusiano wake...
View ArticleUnaweza kujishindia laki tatu kutoka kwa Ommy Dimpoz kwa kufanya hivi.
Unaweza kujishindia shilingi laki tatu kwa kutuma picha kali yenye pozi la ukweli kwenda kwa Ommy Dimpoz.Kwenye instagram Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz anaendesha shindano la picha yenye pozi...
View ArticleChege kutoa video nyingine aliyotumia milioni 12 kuikamilisha.
Zikiwa ni siku chache tu zimepita baada ya Chege kutoa video ya Chapa nyingine iliyofanyika kwenye location moja tu, hatimaye ametangaza kutoa video nyingine baada ya wiki moja.Chege alisema kwamba,...
View ArticleBONGO MOVIES WAPATA VIONGOZI WAPYA-STEVE NYERERE ALA SHAVU KUBWA.
Kundi la Bongo movie unity limepata uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.Katika uchaguzi huo...
View ArticlePicha na taarifa kuhusu huyu Mwanamke aliejifungua hawa mapacha wanne Mbeya.
Taarifa ikufikie kwamba Aida Nakawala mwenye umri wa miaka 25 kutoka kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya aliejifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo kwenye usiku wa kuamkia Mwaka mpya,...
View ArticleGIZA NENE LATANDA NDANI YA CHAMA CHA CHADEMA.
Giza nene limeendelea kutanda ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya juzi kulazimika kuongeza muda wa kikao cha Kamati Kuu kusubiri uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu aliyekuwa Naibu...
View ArticleUAMUZI WA YANGU KUJITOA KOMBE LA MAPINDUZI HAUKUWA WA BUSARA.
Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imechukua hatua ya kushangaza ya kujitoa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea Zanzibar katika dakika za mwisho.Uongozi wa Yanga ulichukua hatua hiyo siku...
View ArticleHOW MWAMVITA MAKAMBA AIMS AT MAKING HER MARK ON AFRICA.
Ms Mwamvita Makamba, the daughter of former CCM secretary general Yusuf Makamba, says she is on a serious mission; to leave a legacy that women can for Africa, if they exploit their potential fully....
View ArticleZAMANI NI NOUMA SANA.KUPIGA PICHA ILIKUWA NI MATESO.ONA HAPA.
>>Gonga Like Yako Hapa Kwa Mastory Kibao>>
View ArticleI'M IN LOVE WITH MY SISTER..PLEASE HELP ME.
Dear Admin,I hope this meets you well and I beg of you to post it.What I’m about to say is considered a taboo in Africa but to us it’s not. I’m in love with my sister. We are in love with each other....
View ArticleMTOTO AZALIWA AKIWA NA VIDOLE 34..AVUNJA RECORD YA DUNIA.
The Indian boy broke the world record after being born with 34 fingers and toes.Akshat Saxena had seven fingers on each hand and ten toes on each foot, according to a spokesman for Guinness World...
View ArticleSIRI ZAZIDI KUFICHUKA CHADEMA:SOMA MAJIBU YA ZITTO KABWE KWENDA KWA TUNDU LISSU.
Chanzo:Udakuspecially.>>Gonga Like Yako Hapa Kwa Mastory Kibao>>
View ArticleHii Post Ya Msanii Zay B Kuhusu Kuzushiwa Kifo Leo Asubuhi.
Babamzazi.com imefatilia taarifa za kifo cha msanii Zay B toka taarifa hizi zianze kusamba asubuhi ya Tarehe 5/1/2014.Taarifa hizi inasemekana zimetangazwa na kituo cha radio Hapa Tanzania kuwa msanii...
View Article