Huyu Ndie Rapper Aliyepigwa Risasi Weekend Hii Na Kufariki.
Aliyekuwa msanii wa kundi la G-Unit rapper Mazaradi Fox amepigwa risasi ijumaa ya tarehe 3 January 2014 akiwa maeneo ya nyumbani kwao Queens, New York. Fox amefariki akiwa na miaka 42.50 Cent ametoa...
View ArticleBarnaba kutafuta wasanii wawili watakaokuwa chini ya label ya studio yake...
Mwimbaji wa Bongo Flava, Barnaba Elias aka Barnaba Boy amepanga kuwatafuta wasanii wawili wapya katika muziki wa kizazi kipya ambao watakuwa chini ya label ya studio yake binafsi aliyopanga...
View ArticleVideo ya Nakula Ujana ya Nay wa Mitego yamkosanisha na mpenzi wake.
Mpenzi wa Nay wa Mitego hajapenda kile alichokiona kwenye video ya Nakula Ujana.Kwa mujibu wa Nay, video hiyo imesababisha ugomvi ndani ya uhusiano wao kutokana na Nay kuonekana kwenye video hiyo...
View ArticleVideo Mpya:Diamond Platinumz ft Davido-My Number One Remix.
Angalia video mpya ya Diamond Platinumz 'My Number One Remix' aliyomshirikisha msanii wa Nigeria Davido,ambayo ilikuwa ikisubiri kwa hamu leo ndio ameachia rasmi. >>Gonga Like Yako Hapa Kwa...
View ArticleKutana na Mtu MNENE kULIKO wote Duniani.
Paul-Mason mwenye miaka53, kabla ya kupunguzwa unene kwa upasuaji maalum Hapo Juu...Paul-Mason, baada ya kufanyiwa upasuajiBaada ya kufanyiwa upasuaji huo alitakiwa kufanyiwa upasuaji wa kupunguza...
View ArticleTUNDU LISSU "ZITTO ALIANZA SIKU NYINGI KUICHAFUA CHADEMA"
LICHA ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuweka zuio la muda kwa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho,...
View ArticleBABY MADAHA AULA..APATA DEAL LINGINE KUBWA.
Ile record label maarufu ya muziki afrika mashariki - candy n candy imechapa fimbo nyingine baada ya kufanya deal ya mtonyo mrefuu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu afrika mashariki na kati,...
View ArticleJINSI MBWA 120 WALIVYOMTAFUNA MJOMBA WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI.
Walimvua nguo na kumtupa kwenye ngome ya Mbwa wenye njaa 120.Rais Kim Jong Un alikataa mjomba wake kunyongwa bali kuliwa na mbwa akiwa uchi wa mnyama.kiongozi huyo na viongozi wengine 300 walishuhudia...
View ArticleMAZITO YAIBUKA KESI YA JACK CLIFF CHINA-KESI KUSIKILIZWA 2016.
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo.Mrembo huyo alikamatwa Desemba 19,...
View ArticleWEMA SEPETU ANYANG'ANYWA GARI.
Gari aina ya Audi Q-7 lenye namba za usajili T 973 BUJ alilokuwa akiendesha Wema.Kwa mujibu wa vyanzo vilivyoenda shule vya Ijumaa Wikienda, gari hilo lilikamatwa Januari 2, mwaka huu Namanga,...
View ArticleJaguar aitoa video yake mpya 'Kioo' aliyoshoot na wafungwa gerezani.
Hitmaker wa Kigeugeu,Jaguar ameitoa video ya wimbo mpya 'Kioo' aliyoshoot na wafungwa gerezani nchini Kenya (Industrial Area Prison)Kioo ni wimbo ambao unaelezea safari ya maisha yake jinsi ambavyo...
View ArticlePicha Na Info, Baada Ya Miaka 5 Ashanti Anarudi Hivi.
Baada ya matatizo kutokea na kuicheleweshwa kwa album yake mpaka kushindwa kutoka mwaka jana msanii aliyekuwa first lady wa Murder Inc Ashanti amesema album yake ya BraveHeart inatoka mwanzo wa 2014...
View ArticlePicha na alichoandika muigizaji Lulu siku ya birthday ya Mama Kanumba.
Mama Kanumba atakuwa ametimiza miaka kadhaa hivi sasa na amepokea zawadi ya keki kutoka kwa muigizaji Elizabeth Michael.Lulu ame-share moja ya picha hizo akiwa na Mama Kanumba siku ya birthday yake na...
View ArticleRAY C "BADO NIPO SINGLE JAPO BADO NASUMBULIWA SANA NA VIDUME"
Ray C yupo single.. at least kwa muda huu.Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini amekiri kuwa usumbufu...
View ArticleDOKTA MAARUFU KWA KUTOA MIMBA AKAMATWA DAR.
MWAKA umeanza, mambo mapya pia yapo! Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers imeingia kazini kwa kasi zaidi.Safari hii imemnasa daktari anayejulikana kwa jina moja la Mambo maarufu sana kwa...
View ArticleWASTARA: NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA.
IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, WastaraJuma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji...
View ArticleJOHARI APIGA MITUNGI KWA FUJO.
STAA wa kitambo kwenye filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amenaswa akipiga mitungi kwa sana ikiwa ni sehemu ya kufurahia uongozi mpya wa Klabu ya Bongo Movie Unity.Tukio hilo lilitokea...
View ArticleHAKUNA HALI YA UMASKINI INAYODUMU MILELE-SOMA KISA HICHI CHA KUTIA MOYO.
Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri.Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi aliopewa na...
View ArticleHAKIKA WEMA SEPETU AANZA KUPENDEZA SASA BAADA YA KUACHA MKOROGO...HEBU CHEKI...
Kabla na Baada>>Gonga Like Yako Hapa Kwa Mastory Kibao>>
View ArticleSIRI:MIMI HUWA SIANGALII MWANAMKE MARA MBILI.
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii...
View Article