$ 0 0 Hitmaker wa Kigeugeu,Jaguar ameitoa video ya wimbo mpya 'Kioo' aliyoshoot na wafungwa gerezani nchini Kenya (Industrial Area Prison)Kioo ni wimbo ambao unaelezea safari ya maisha yake jinsi ambavyo hujitazama  kila wakati kwenye kioo kuona jinsi alivyopiga hatua ndefu. >>Gonga Like Yako Hapa Kwa Mastory Kibao>>