Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI HAPA NDIO GHARAMA ZA VIDEO YA- My Number One Rimix YA DIAMOND PLATNUMZ.

Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria.Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA KIUMBE CHA AJABU DUNIANI.

>>Gonga Hapa Kulike Page Yetu Kwa Mastory Kibao>>

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kifaa Chenye Kufuli la Kuzuia Wanaume Kusaliti Wake Zao Chavumbuliwa.

Kifaaa maalum cha kumzuia mwanaume kutofanya mapenzi kimevumbuliwa, na hii ni katika kukabiliana  na wanaume waliooa wasiweze kusaliti ndoa zao na hata kwa ajili ya vijana wanaowasaliti wapenzi wao.Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA DUNIA: Samaki Aina ya Sato Aingia Tumboni mwa Msichana wa Miaka 12...

MAISHA ya mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 12, (jina tunalihifadhi), anayesoma darasa la tano Shule ya Msingi Bwanza, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, yako hatarini baada ya kurukiwa na samaki aina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AL SHABAAB WAPIGA MARUFUKU WANANCHI WA SOMALIA KUTUMIA INTERNET NCHINI HUMO.

Wanamgambo wa Al Shabaab wenye uhusiano na Al-Qaeda, wamesema kuwa wamepiga marufuku raia wanaoishi katika maeneo wanayodhibiti kutumia internet.Wapiganaji hao wametoa onyo kwa kampuni zote zinazotoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASOGANGE:NAOGOPA MUME WA MTU.

VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu.Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUSABABISHA VIFO VYA WATU...

Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA 'AWACHANA' WASANII WANAOJIVUNIA ZIARA ZA NJE YA NCHI.

Msanii wa filamu ambaye pia ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Baby Madaha ambaye yupo chini ya kampuni inayojulikana kwa jina la Candy n Candy amefafanua kuwa msanii hatakiwi kutumia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA WEMA SEPETU KUUANZA MWAKA VIBAYA SASA DIAMONDI AJITOSA KUMNUNULIA...

STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo,Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI? MKE WAKO KAJIFUNGUA MTOTO MZUNGU WAKATI NYIE...

Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.Kama wewe ni Mume au Mke ungefanya nini?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE.

STAA wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kuwa tangu ajiunge Bongo Movie hakuna manufaa aliyoyapata kwa kuwa chama hicho kinaendekeza ubaguzi kwa kuthamini rushwa ya ngono.Akipiga stori na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK.

VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’.Wawili hao walibambwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO "SITAKI MALUMBANO NI MUDA WA KUTUMIKIA WAPIGA KURA SASA"

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuanzia sasa hataki malumbano na mtu.Kauli ya Zitto, imekuja siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupiga marufuku chombo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WAMWAKIA PROFESA TIBAIJUKA NI BAADA YA KUZOMEWA NA WANANCHI.

Viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa masuala ya ardhi, wamesema kuzomewa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ni matokeo ya makosa yanayowafanywa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke mwenye miaka 48 akamatwa akiwa amejificha kwenye begi ili aingie...

Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu, unaweza kutumia akili nyingi kufanikisha tukio lako haramu na bado ikageuka kuwa kituko cha ajabu pindi utakapokamatwa!Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 48,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na mtoto mwenye umri wa miaka 6 analipwa zaidi ya milioni 12 kwa wiki.

Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya comedy ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni analipwa dola 8,000 kila wiki akitokea kwenye episode moja.Kutokana na mkataba wake ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ni kutoka Kenya jamaa amefufuka akiwa chumba cha kuhifadhia maiti.

Hii ni kutoka kwa majirani zetu ambapo tunaambiwa Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya mwanaume mmoja aliyedhaniwa kuwa amekufa na kufufuka akiwa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPIGA CHABO MAARUFU AKAMATWA AKIPIGA CHABO WAPENZI GESTI.

NI aibu kubwa! Mpigachabo maarufu nchini, Andrea Masangu (29) amenaswa akiwa kwenye uvungu wa kitanda akiwapiga chabo wanandoa.Tukio hilo lilitokea Januari 10, mwaka huu, ndani ya Gesti ya Riverside,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU JAMAA AJAOGA WALA KUGUSA MAJI KWA MIAKA 60.

Amoo Hadji, an 80-year-old Iranian man, has not taken bath for 60 years, according to the city website Bavanat.com.His skin is scaly, you can barely see his eyes and he smells to high heaven. The...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAJALA AELEZEA TUHUMA ZA KUIBA MUME WA MTU.

Ni zile stori za town sasa hivi ambapo mwigizaji Kajala amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu yake ya kuandikwa kwenye blogs na magazeti ya bongo kuhusu tuhuma za kuchukua mume wa mtu.Kajala...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live