Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na mpenzi wake wa siku zote kuepuka uhasama.
“Sina tabia ya kushobokea kabisa waume za watu, bora niendelee na mtu wangu wa siku zote na kama tukishindwana basi bora nitafute mwingine lakini awe wangu peke yangu,” alisema Masogange.
>>Gonga Like Yako Hapa Kwa Story Kibao>>