MWANAMUZIKI FEROUZ AKAMATWA NA BANGI.
Vijana ni nguvu kazi ya taifa, lakini vijana hao hao wanaweza kuwa chanzo cha taifa kutoendelea na kubomoka. Ubomoaji wa taifa huwa kwa namna nyingi ikiwemo uvivu, ufisadi, na kadha wa kadha. Lakini...
View ArticleMUHUDUMU WA MUCHUARI AMPIGA MKWARA MZITO WAZIRI.
Mfanyakazi wa Kitengo cha Kuhifadhi Maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya, Eugene Vurugu amemtisha Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuwa ikitokea amefariki dunia akiwa mkoani...
View ArticleUTABIRI MPYA WA KUTISHA-MWISHO WA DUNIA WATAJWA.
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii...
View ArticleNI AJABU LAKINI NI KWELI-MTOTO AISHI MAKABURINI.
WAKATI sehemu ya makaburi imekuwa ikiogopwa na watu wengi kutokana na ukweli kwamba ni makazi ya wafu, hali ni tofauti kwa mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 8-9 ambaye jina...
View ArticleCristiano Ronaldo atoa heshima kwa Mandela baada ya kushinda tuzo ya mchezaji...
Cristian Ronaldo jana aliuzima mlolongo wa ushindi wa mchezaji bora wa FIFA kwa miaka minne mfululizo aliokuwa anaouendeleza mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi, baada ya kutangazwa kuchukua tuzo...
View ArticleProfesa Jay Na Diamond Wakiwa Bongo Records, Soma Alichoandika Jay.
Legendary Hiphop Artist kutoka Tanzania Profesa Jay akiwa na Diamond ndani ya studio za Bongo Records Na Best Tanzania Producer of All Time P Funk Majani. Post Ya Profesa Kuhusu Hii Picha Iko Hapa
View ArticleWALE WAUMINI WA KANISA LA WALA MAJANI SASA WAKIONA CHA MOTO- WATAPIKA NA...
Waumini wa Mchungaji Daniel walijikuta wakianza kuumwa mara baada ya Mchungaji huyo kuwafanya wale wale majani.Picha zinazofuata zinaonyesha watu tofauti wakiwa wagonjwa kwenye vyoo - picha za vyooni...
View ArticleNESI AKAMATWA NA KUSHTAKIWA KWA KUWAAMBUKIZA WATOTO WACHANGA UKIMWI.
Rosemary Namubiru, 64, was produced before Buganda Road Court to answer to charges of attempted murder. She denied the chargesChief Magistrate Olive Kazaarwe sent her to Luzira prison until January 31...
View ArticleMFANYABIASHARA ALEX MASAWE ADAIWA KUWA YUPO HURU.
Utata umeibuka kuhusu alipo mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Masawe baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa ameachiwa huru huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE) alikokuwa akishikiliwa.Masawe ambaye alikamatwa...
View ArticleB12, ADAM MCHOMVU NA DIVA WAMEPIGWA CHINI CLOUDS FM.
Stori: MUSA MATEJAWATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko...
View ArticleWEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND.
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang’anywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film...
View ArticleRICH MAVOKO APATA PIGO KUBWA.
Jana January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father…...
View ArticleHuyu Mchezaji Ndio Kocha Mpya Wa AC Milan.
Baada ya miaka 22 uwanjani akicheza game kali sana la soka Nyota mkongwe wa AC Milan Clarence Seedorf ametangaza rasmi kustaafu kucheza mpira wa miguu ili aweze kuchukua nafasi ya ukocha ndani ya San...
View ArticleMSANII WA KIMATAIFA KANYE WEST AANZISHA DINI YAKE.
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website...
View ArticleJACKLINE WOLPER AMWANIKA MPENZI WAKE MPYA HADHARANI.
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kumuweka bayana mchumba wake wa sasa anayejulikana kwa jina la G. Modo baada ya kukaa kimya muda mrefu tangu alipoachana na Abdallah Mtoro...
View ArticleMISS TZ, DEMU WA PREZZO WACHUANA KWA ZA UTUPU.
MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya...
View ArticleONGEZEKO LA MASHOGA WA KIUME BONGO! TATIZO NI NINI?
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na...
View ArticleBADO SIJAAMUA KUWA NA MPENZI KWA SASA.
Young Killer anasema pamoja na umri wake kumruhusu kuwa mrembo katika maisha yake, bado hafikirii kuanzisha uhusiano na msichana kwa sasa.“Umri wa kuwa na mpenzi nimeshafikia lakini sasa hivi nafanya...
View ArticleBABY MADAHA ANASA KWENYE MTEGO WA KUJIUZA KWA NJIA YA MTANDAO.
Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki...
View ArticleJennifer Lopez Ahusishwa Skendo ya Picha za Utupu.
Kwa mujibu wa taarifa, jamaa anayeitwa Rodrigo Ruiz amefungua kesi dhidi ya J. Lo akidai kwamba mwanamuziki na muigizaji huyo alimuomba yeye amtumie picha zake za utupu pamoja na demo ya mziki...
View Article