Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU HIZI WANAWAKE WANAONGOZA KWA VITAMBI NA MATUMBO MAKUBWA.

Miaka ya 90 kurudi nyuma ilikuwa nadra sana kukuta mwanamke ana kitambi.Ukimkuta mwanamke anatumbo kubwa wakati huo, lazima atakuwa ana mimba.Hali sasa inatisha. Wanawake wengi wana vitambi kiasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA RAIS KIKWETE AFUNGA NDOA, TAZAMA PICHA NA STORI.

 Shamra shamra na nderemo zilitawala jana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City wakati Miraji Kikwete, mtoto wa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete alipofunga ndoa na Alma Mahmoud. Sherehe hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARABARA MPYA MABASI YAENDAYO KASI JIJINI DAR ES SALAAM ZAGEUKA MADAMPO YA...

Hii ni Barabara Mpya kabisa ya Magari yaendayo kwa kasi Jijini Dar es salaam ambapo sasa Baadhi ya maeneo yamegeuka Madampo ya kutupia takataka kama inavyo onekana pichani. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMU YA KUUA VIRUSI VYA UKIMWI MWILINI YAGUNDULIWA.

Timu ya Watafiti katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, wamegundua aina ya sumu ambayo ina uwezo wa kuua seli ambazo zimekwishaathiriwa na Virusi Vya Ukimwi (VVU). Sumu hiyo iliyopewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS.

WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha.Watangazaji hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOFELI KIDATO CHA PILI KUENDELEA NA MASOMO KIDATO CHA TATU.

Wakati Watanzania wakisubiri matokeo ya kidato cha pili mwaka 2013, imebaini kuwa Serikali imetoa agizo kwamba wanafunzi wote waliofeli mtihani huo kuendelea na masomo ya kidato cha tatu, huku wakisoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA YA KWANZA YA SISTER ALIYEJIFUNGUA MTOTO WA KIUME HUKO ITALY.

Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la  Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis. Sister huyu ameuushangaza ulimwengu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEUZI WA JUMA NKAMIA NI KUUA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI-MEENA.

Akiongea na kituo cha CHANNEL TEN jana jumapili tarehe 19/01/2014,mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi ndugu Meena amelaani uteuzi wa Jumaa Nkamia kuongoza wizara inayosimamia vyombo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI JIPYA LA DIAMOND LAZUA UTATA..WENGI WASEMA SIO JIPYA MBONA KAZIBA PLATE...

Inakwenda week sasa toka mkali wa bongo fleva Diamond Platinumz kuonekana kwenye account yake ya Instagram akiwa na ndinga hili kali V8. Mashabiki wakasema mbona lile gari la kwanza alivyolinunua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LADY JAY DEE ANUNUA RANGE ROVER MPYAAA...SEE PHOTOS.

Respect kubwa kwa mwadada Lady Jay Dee......Hiyo ni Range Rover Sport ...Nomaaaa>>Gonga Like Yako Hapa Kwa Mastory Kibao>>

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OBAMA AITETEA BANGI ASEMA HAINA MADHARA SANA KAMA POMBE.

With a majority of Americans now in favor marijuana legalization, President Barack Obama is now saying weed is no more dangerous to individuals' health than alcohol.In an interview with the New...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mrembo wa Uingereza adai kuwa na ujauzito wa Davido na anatarajia mapacha.

Msichana mrembo aishie Uingereza, aliyetajwa kwa jina la Sunshine Haye, amejitokeza na kudai kuwa na ujauzito wa mkali wa ‘Skelewu’, Davido na kwamba anatarajia watoto mapacha.Kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maumivu ya mapenzi mpaka India, soma hii ya kifo cha ghafla cha mke wa Waziri.

Kimetokea kifo cha gafla cha mke wa waziri mmoja huko India baada ya utata kati yake na umma ambapo alimtuhumu  mume wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine ambapo kifo hicho kilikua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGIZAJI WA ISIDINGO LESEGO MOTSEPE AMEFARIKI DUNIA.

JOHANNESBURG – South African actress Lesego Motsepe, best known for her role as Lettie Matabane in the SABC 3 soapie Isidingo, has died.Motsepe was found dead at her Randburg home at around 11 am on...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA MWANAJESHI FEKI ALIYEKAMATWA LEO TANGA AKIMTAPELI DC.

'Koplo' feki akiwa na pamoja na Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko.Na Mashaka Mhando,TANGAVIKOSI vya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa,vinamshikilia EdwinJohn Mponji (31)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Psquare Wanunua Nyumba Mbili za Kifahari Ndani ya Atlanta Nchini Marekani.

Wanamuziki nyota toka nchini Nigeria kundi la Psquare wamenunua nyumba mbili mpya ndani ya Atlanta nchini Marekani.Peter Okoye ameshea picha za nyumba hizo zikiwa zinaonekana kwa ndani kisha chini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijana mdogo aliyepigwa na Kanye West adaiwa kumuomba pesa ili yaishe kiaina.

Kijana mwenye umri wa miaka 18 aliyeadaiwa kupigwa ngumi zaidi ya 30 na Kanye West baada ya kumtukana yeye na mkewe mtarajiwa, mama North West, Kim Kardashian sasa anadaiwa kumtafuta Yeezy na kudai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platinumz apewa shavu lingine na Dully Sykes.

Baada ya kuwakutanisha Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz na Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz kwenye wimbo wake uliofanya vizuri ‘Utamu’, Prince Dully Sykes amempa shavu lingine Diamond kwenye wimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unataka kuona mshindi wa BSS 2013 amezitumiaje milioni 50 zake? picha za...

.Jina lake ni Emmanuel Msuya ambae usiku wa November 30 2014 Escape One Mikocheni Dar es salaam alitangazwa mshindi wa BSS kwa mwaka 2013 na kuzichukua MILIONI 50 kutokana na matokeo kamili ya mizani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA WEMA AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND.

Huu ndio ujumbe wake:“Mimi nimekerwa sana na huyo Diamond wenu. Najua hajamrudia Wema kwa mapenzi, amemrudia ili apate nafasi ya kumharibia maisha. Ni kijana hatari sana.“Nina taarifa kutoka kwa watu...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live