BOND"NILIMPA JACK CLIFF MIL 2 AIGIZE KWENYE MOVIE YANGU AKANISONYA NA KUSEMA...
MTANGAZAJI wa kituo cha chanel ten Bond Bin Slim ambaeye inadaiwa hivi sasa ni yuko katika mahusiano na mjane wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo marehemu Said Juma Kilowoko “Sajuki”, Wastara Juma...
View ArticleMbunge wa Chalinze Said Ramadhani Bwanamdogo Afariki Dunia.
Marehemu Said Ramadhani BwanamdogoKwa mujibu wa tarifa nilizozipata hivi punde kupitia vyanzo mbalimbali ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM) ambaye alikuwa amelazwa Hospitali...
View ArticleNINA MIAKA MINNE KWENYE NDOA ILA MUME WANGU HAJAWAHI KUNIFIKISHA...
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi...
View ArticleSNURA TUHUMA NZITO...ADAIWA KULIKIMBIA DENI LA PRODUCER WAKE ALIYE MTOA.
STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi ameingia kwenye majanga baada ya kudaiwa kukacha na deni la prodyuza Mohammed Kandoro wa Studio za Fire Music ambaye alimrekodia nyimbo kadhaa wakati akisaka...
View ArticleMAJANGA YAZIDI KUMKUMBA BABY MADAHA AKIRI NAKUSEMA "NIMEUMBUKA"
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.Habari hiyo...
View ArticlePICHA YA MSANII DAVIDO AKIWA NA MDADA ACTRESS WA KIBONGO KITANDANI YAVUJA...
Msanii maarufu wa muziki wakizazi kipya ajulikane kwajina la davido tika nchini Nigeria anaetamba na kibao chake cha SKELEWU,hivi ndivyo alivyo pigwa picha na mwana dada huyu anaedaiwa kuwa mwigizajiwa...
View ArticleMWANAMUZIKI LINAH SANGA APANGUA SKENDO INAYOMKABILI YA KUTOKA NA KIGOGO.
Mwanamuziki Linah Sanga Amekana katu katu Skendo kuwa anatoka na kigogo mmoja wa serekali na kuwa amempachika ujauzito ..Linah Amesema yeye sio mjamzito na wala hatoki na Kigogo yoyote, hizo ni shutuma...
View ArticleOkwi asimamishwa Yanga kufuatia kesi inayomkabili FIFA.
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa la...
View ArticleGirlfriend wa mmiliki wa Chelsea, Abramovich ashambuliwa kwa kuonesha ubaguzi...
Mpenzi wa Billionaire ambaye ni mmiliki wa timu ya mpira wa miguu, Roman Abramovich, alichafua anga baada ya kupost picha inayomuonesha akiwa amekaa juu ya kiti chenye umbo la mwanamke mweusi tena...
View ArticleBAADA YA PREZZO KUACHWA NA TOTO LA KICHAGA..SASA HUDDAH ATANGAZA KUMTAKA TENA...
Mpenzi wa zamani wa Prezzo ameonyesha kuguswa na tukio la Prezzo kupigwa chini na Toto la Kitanzania Chagga Birbie na kuanza kupost Message kwenye twitter za kuonyesha kumpa kampani Prezzo na kusema...
View ArticleHATIMAE CHAGGA BARBIE AMALIZA BEEF AMSAMEHE PREZZO KWA MOYO WAKE WOTE.
We had barely recovered from Chagga Barbie's vicious first salvo at Prezzowhen she opened a can of worms exposing her former lover.In the midst of a stream profanity, she revealed that Prezzo was broke...
View ArticleMCHUMBA WA LULU MICHAEL SI SIRI TENA.
Siku chache baada ya sexy lady wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kutangaza sifa za mwanaume atakayemchumbia, amejitokeza mtu anayetaka kuchukua jumla na si siri tena, Amani...
View ArticleMkwanja wa mauzo ya kitabu cha Sir Alex Ferguson ulipofikia.
Kitabu cha pili cha maisha ya kocha wa zamani wa klabu ya Manchester United, “Alex Ferguson: My Autobiography”, kilichoanza kuuzwa mwezi October 2013, na kuuza jumla ya nakala 115,000 katika wiki ya...
View ArticleChelsea yaipokonya Tonge Mdomoni Liverpool: Yathibitisha Kumsajili Mohamed Salah
Chelsea wameishinda Liverpool katika mbio za kumsaini winga Mohamed Salah kutoka FC Basle kwa ada ya uhamisho ya £11million, hii ni kwa mujibu wa mtandao wa klabu ya Chelsea.Salah ambaye alikuwa...
View ArticleMovie ya hollywood iliyomuhusisha Mkenya Lupita Nyong’o kuanza kuonyeshwa Tz,...
Mkenya Lupita Nyong’o ana-make headlines hivi sasa huko Hollywood kutokana na ushiriki wake kwenye movie ya “12 Years A Slave” ambayo ilisimamiwa na director Steve McQueen na kupata nomination nyingi...
View ArticleWenger akiri kuhusiana na safari ya kuelekea nchini Hispania.
Meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amekiri ni kweli jana alikuwepo kwenye uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London na alifanya safari ya kuelekea nchini Hispania.Arsene Wenger amekiri suala...
View ArticlePENNY AAMUA KUFUNGUKA KUHUSU KUVUNJIKA MAPENZI YAO NA DIAMOND..HUU NDIO...
Mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila aka VJ Penny, amesema kuwa yeye na mpenzi wake, staa wa ‘My Number One’, Diamond Platnumz, wamepeana nafasi ili kila mmoja...
View ArticleLULU "NIKIONA POMBE HUWA NAIPA SHIKAMOO KWA JINSI ILIVYONIFANYA"
MSANII wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa sasa hivi anaiogopa na kuiheshimu sana pombe akiamini kwamba ndiyo chanzo cha maisha kuharibika.Kwa mujibu wa tovuti ya GPL hivi , Lulu...
View ArticleHALI YA MWIGIZAJI JOHARI SI SHWARI..ALAZWA HOI HOSPITALINI.
Mwana Dada na mwigizaji mkongwe Blandina Chagula maarufu Johari ni mgonjwa na amelazwa katika moja ya hospitali maarufu hapa jijini.Kwa mujibu wa blogu ya mwigizaji Deogratious Shija, ndugu wa karibu...
View ArticleWASTARA ASHINDWA KUVUMILIA AWEKA PICHA AKIWA AMEKUMBATIWA NA MWANAUME NA...
Leo majira ya asubuhi msanii wa Bongo movie aliweka picha huku akiwa amekumbatiwa na mwanaume na kusema kuwa "nimemisi kumbatio la huba" kutokana na kauli hiyo wadau wameweka maswali mengi na kuuliza...
View Article