MASKINI DIAMOND AUUMBULIWA NA PEDESHEE CHEAF KIUMBE.KUMBE HAWA WASANII MAGARI...
Pedeshee Maarufu ajulikanae kwa jina la Chief kiumbe ameibuka na kuzua jambo kuwa lile Prado Diamond alilopiga nalo picha week kadhaa zilizopita na kusema ni gari yake mpya kuwa si ya Diamond bali ni...
View ArticleKUTANA NA MWANAMKE MFUPI KULIKO WOTE DUNIA...AVUNJA RECORDS.
Meet The World's Shortest Woman, Jyoti AmgeWhen Ranjana Amge was in the final months of her fifth pregnancy, she feared that she’d never hold that baby in her arms.The doctor’s exams didn’t go well....
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE ASIMULIA ALIVYO HONGWA TSH MILION 5 ILI AFANYE MAPENZI...
Msanii anayeuza nyago kwenye filamu zaKibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’amefunguka kuwa analaani mastaawanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume namaumbile akidai kuwa wapo ambaowamekuwa wakifanya kitendo...
View ArticleVIDEO:CHEKI YALIYOMTOKEA DEREVA MBISHI WA LORRY HUKO MOROGORO DARAJA...
Huyu Dereva alionywa asipite yeye akajifanya comando John akawasha gari na kujaribu kupita ...kifika katikati lorry lote likazama ...hata sijui kama alipona huyu...angalia hii video ujionee .
View ArticleNYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AKUTWA AMEKUFA NDANI YA BONETI YA GARI NDOGO.
Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za...
View ArticlePENNY:DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE.
Stori: Imelda Mtema na Erick EvaristMTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama chizichizi lakini kwa...
View ArticleMCHUMBA WA MTU AAGA ANAKWENDA KWA BIBI YAKE MGONJWA KUMBE ANAENDA KUUZA MWILI...
Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, MorogoroOPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza...
View ArticleETI HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE MWILI WENYE THAMANI KUBWA KULIKO WANAWAKE WOTE...
Her name is Amanda Lepore, a transsexual who has been tagged as 'the most expensive body on earth'.The 46 years old blonde had a sex change operation from male to female when she was 19, and ever since...
View ArticleKUWA WA KWANZA KUTAZAMA MABASI YAENDAYO KWA KASI JIJINI DAR ES SALAAM.
Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar.>>Gonga Hapa Like Yako...
View ArticleMASKINI....MSANII WA BONGO MUVI AJINYONGA GEST.
Marehemu Victor Peter enzi za uhai wake.MSANII Victor Peter kutoka Bongo Movie amefariki dunia usiku wa juzi kuamkia jana 28/01/2014 kwa kujinyonga katika gest moja iliyotambulika kwa jina la SAFARI...
View ArticleWASTARA ALIA NA WAANDISHI WA HABARI.
Muigizaji wa kike wa filamu za kiswahili, Wastara Juma amesema tangu mme wake Juma Kilowoko aka Sajuki afariki anakutana na changamoto nyingi kwenye mazingira yaliyomzunguka kwa sasa.Akizungumza na...
View ArticlePenny:Najaribu kutafuta mwanaume aliye mkamilifu kidogo, najua yuko sehemu.
Penniel Mwingila aka VJ Penny ambaye wengi wanamfahamu kama mpenzi wa mkali wa Bongo Flava, Diamond Platinumz ambao hivi sasa hawako pamoja, anaamini kuwa ingawa hakuna mwanaume mkamilifu, kuna sehemu...
View ArticleNAHISI NIMEAMBUKIZWA HIV..NAHITAJI USHAURI TAFADHALI.
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo.Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend...
View ArticleMAJANGA.ONA ETI HII NDIO BAR YA KISASA.UNAKUNYWA BIA KUTOKA KWA BOMBA NA...
>>Bofya Like Yako Hapa Kwa Mastory Kibao>>
View ArticleMWANAMKE ALIYE PANGA NJAMA ZA KUMUUA MUMEWE ILI AFAIDI MALI ZAKE AENDELEA...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha jana imekataa ombi la hati ya dharura ya dhamana ya mke wa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Janeth Jackson (32), anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa...
View ArticleWEMA,DIAMOND WAFUNGIWA KAZI!, MAMA WEMA AWASAKA MTAA KWA MTAA.
HABARI mpya! Mama wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu anadaiwa kuingia rasmi mitaani akiwasaka wapenzi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Wema, chanzo cha uhakika kimesema na...
View ArticleSHILOLE AJIWEKA KWA MZUNGU..ASEMA "NILIPOTAKA NIMEFIKA SASA"
Na Gladness Mallya na Hamida HassanKWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake.Chanzo makini...
View ArticleVideo Mpya:Nameless-African Beauty.
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu,msanii kutoka Kenya 'Nameless' ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa African Beauty.Itazame hapa.
View ArticleObama apinga jeshi la Marekani kwenda kutumikia nchi za nje.
Barack Obama wa Marekani ameeleza kuwa anapinga kupeleka askari wengi wa nchi hiyo nchi za nje,huku akiahidi kutafuta njia za kidiplomasia uongozi na usalama wa Marekani.Akizungumza katika hotuba yake...
View ArticleAc Milan wapata kifaa kipya kutoka England 'Adel Taarabt'
Katika hatua ya mwisho ya usajili wa wachezaji, Klabu ya AC Milan imemsaini kiungo aliyekuwa akichezea QPR ‘Adel Taarabt’ kwa mkopo kutoka timu ya Daraja la Kwanza England.Kiungo huyo mshambuliaji wa...
View Article