$ 0 0 Huyu Dereva alionywa asipite yeye akajifanya comando John akawasha gari na kujaribu kupita ...kifika katikati lorry lote likazama ...hata sijui kama alipona huyu...angalia hii video ujionee .