
Katika hatua ya mwisho ya usajili wa wachezaji, Klabu ya AC Milan imemsaini kiungo aliyekuwa
akichezea QPR ‘Adel Taarabt’ kwa mkopo kutoka timu ya Daraja la Kwanza England.Kiungo huyo mshambuliaji wa kimataifa wa Morocco alikuwa akiichezea Fulham kwa makubaliano ya muda,lakini sasa ameungana na vigogo hao wa Serie A.