Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

WASTARA ASHINDWA KUVUMILIA AWEKA PICHA AKIWA AMEKUMBATIWA NA MWANAUME NA KUANDIKA MANENO TATA.

$
0
0

Leo majira ya asubuhi msanii wa Bongo movie aliweka picha huku akiwa amekumbatiwa na
mwanaume na kusema kuwa "nimemisi kumbatio la huba" kutokana na kauli hiyo wadau wameweka maswali mengi na kuuliza je huyu ndiye mume mtarajiwa wa Wastara au la.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles