Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mbunge wa Chalinze Said Ramadhani Bwanamdogo Afariki Dunia.

$
0
0
Marehemu Said Ramadhani Bwanamdogo
Kwa mujibu wa tarifa nilizozipata hivi punde kupitia vyanzo mbalimbali ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM) ambaye alikuwa
amelazwa Hospitali ya Muhimbili kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) amefariki dunia.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema Peponi, Amin... 

CHANZO: Vyanzo MBALIMBALI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles