Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

RICH MAVOKO APATA PIGO KUBWA.

$
0
0
Jana January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.

Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.
Pole sana Rich Mavoko na taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapa kupitia.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles