Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

BONGO MOVIES WAPATA VIONGOZI WAPYA-STEVE NYERERE ALA SHAVU KUBWA.

$
0
0
Kundi la Bongo movie unity limepata  uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.

Katika uchaguzi huo viongozi wapya walichaguliwa ni;

Mwenyekiti.  Steven Nyerere.

Makamu mwenyekiti : Mahsein awadhi "Dr cheni"

Katibu mkuu:  William Mtitu

Katibu mkuu msaidizi : Devotha mbaga 

Mtunza hazina: Issa musa “cloud"

 Msaidizi wake ni:  Cathy rupia

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles