Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Flaviana Matata kutengeneza mabegi ya shule kwaajili ya wanafunzi.

$
0
0
Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata anatarajia kuanza kutengeneza mabegi ya kubebea vitabu na madaftari kwaajili ya wanafunzi nchini.
Mabegi hayo ni sehemu ya mradi wake wa kutengeneza vifaa vya shule uliopo chini ya taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation.
Mwishoni mwa mwaka jana, Flaviana alizindua stationery za FMF ambazo ni pamoja na madaftari, kalamu na vitu vingine vya wanafunzi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles