Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mwalimu Asimamishwa Kazi kwa Kusema “Hatutaki Rais Mwengine Mweusi Marekani”

$
0
0
Mwalimu mmoja toka Kusini Magharibi mwa Ohio ambaye alimjibu Mwanafunzi wa Shuleni kwake mara baada ya kusema angependa kuja kuwa Rais na kisha mwalimu huyo kumjibu kuwa Taifa hilo halihitaji kuwa na Rais mwengine mweusi amesimamishwa kazi.

Bodi ya Elimu wiki hii imemsimamisha kazi bila nalipo Mwalimu Gil Voigt. Gazeti la Hamilton-Middletown Journal limetarifu kwamba Rais wa bodi hiyo Dan Murray alisema kusimamishwa huko ni hatua ya kwanza katika kuelekea kumtimua kimoja.

>>Gonga like Yako Hapa ili Upate Story Za Nguvu>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles