Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

MMH HAPA YALIKUWEPO MAPENZI KWELI?

$
0
0
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!! 
Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!! 


From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!! 
Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe kabla ya mambo mengine.
Then came the third date hapo nimeshakubali, baby can i pay for a room!!!!"haaaa!!!!!!! hapana its too soon hata mwezi haujaisha!!!!
Kilichofuata tukawa hatuwasiliani for a week,solutions aliponitafuta tu anauliza when are we going to do it!!!!! Mh nikamzingua ,mawasiliano yakawa yakusuasua sana ila nikawa nimeshamsoma yuko selfish mno.
Katika kipindi hicho sijawahi kutaka chochote kutoka kwake in terms of cash mwisho nikaona what am i waiting for,mapenzi siyaoni kisa nimegoma kutanguliza sex. 
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo. 
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!
By  afrique 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles