Stara Thomas aandika wimbo kuhusu Facebook.
Ukitaja vitu vipya maarufu sana katika kipindi cha miaka kumi iliyopita hadi leo vinachozungumziwa zaidi, Facebook inaweza kuwa katika nafasi mbili za juu.Hii inatokana na jinsi ilivyo na wafuasi wengi...
View ArticleKESI YA MAUAJI YA MWANDISHI WA HABARI MWANGOSI YANGURUMA.
Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, marehemu Daudi Mwangosi inayomkabili aliyekuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mwenye namba G. 2573...
View ArticleAMUUA MWENZAKE WAKIGOMBEA SIGARA.
Uvutaji wa sigara umeleta maafa, baada ya mtu mmoja kukatwa mkono na kuuawa na mwenzake wakati wakigombea sigara.Katika tukio hilo lililotokea Korogwe, Jumapili iliyopita, Februari 2, mnamo saa nne...
View ArticleNIMEKUTA PICHA ZA UTUPU ZA GIRLFRIEND WANGU KWENYE SIMU YAKE..USHAURI PLEASE.
Jamani Wapendwa Valentines imenikalia Pabaya leo yaani, My girl kaja kulala kwangu ili leo tusherekee wote hii siku kuna mahali tunaenda out of Town, ila sasa asubuhi ya leo wakati tunajiandaa...
View ArticleKESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA.
STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba.Lulu...
View ArticleMC PILIPILI LEO NDANI YA BNN HALL-UCHUMI QUALITY CENTRE.
MC na MCHEKESHAJI Maarufu leo tarehe14 februari usiku kuanzia saa 1 mpaka liambaatakuwa na Bonge moja la show pale UchumiNyerere Road katika Ukumi wa Kisasa kabisa ya BNN AMBAPO ATASHIRIKIANA na ATOMY...
View ArticleFUNDI SAMWELI ATHIBITISHA KUACHANA NA MKEWE MWANAMUZIKI SARAHA.
Producer wa wimbo mpya wa Ben Pol, ‘Unanichora’, Fundi Samwel ambaye ni raia wa Sweden, amethibitisha kuachana na mke wake, Saraha.Mtayarishaji huyo amesema sababu kubwa ya kuachana ni ubusy waliokuwa...
View ArticleSKENDO ZA ROSE MUHANDO MAPYA YAIBUKA.
JAMBO limezua jambo! Siku chache baada ya staa wa Injili Bongo, Rose Muhando kudaiwa kutiwa mbaroni kwa utapeli wa shilingi milioni 6, nyuma ya skendo hiyo, mapya yameibuka.Habari hiyo iliruka hewani...
View ArticleHUU NI UKATILI ULIOPITILIZA.
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mkazi wa Kijiji cha Nyabibuye Kakongo katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Susuluka (16) anadaiwa kujeruhiwa vibaya usoni na bosi wake, Imani Paulo (36) kwa...
View ArticleHII NDIO JEURI YA DIAMOND PLATNUMZ.
Wote tunajua kwamba diamond platnumz kwasasa anafanya kazi na coca-cola kama brand ambassador na Vodacom Tanzania pia.lakini chini ya kapeti hauwezi kuamini deals diamond anazozipata kila kukicha na...
View ArticleKanye West awatukana maDj wa radio kwa kuwataja majina kwenye tamasha.
Kanye West amesahau ahadi aliyowaahidi mashabiki wake kuwa mwaka 2014 atakuwa mtu mzuri na hatatumia maneno mabaya tena kwa mtu yeyote.Akiwa kwenye show aliyofanya huko Penn State, ikiwa ni muendelezo...
View ArticleBABAMZAZI POOL CLUB LEO LIVE NA MASHUJAA POOL CLUB.
Babamzazi Pool Club ambayo ni Club Mpya Kabisa leo itachuana na Wakongwe na Mabingwa wa POOL Mkoa wa Ilala 2013/2014 Mashujaa kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Vingunguti Mashujaa Pub.Mechi hiyo ya shika...
View ArticleDIVA WA CLOUDS FM AWEKA KILA KITU ADHARANI KUHUSU UHUSIANO WAKE WA KIMAPENZI...
Diva Clouds fm anazidi kuvunja ukimya na kuweka wazi juu ya mahusiano yake na Msanii aliyekuwa anaunda kundi la East Coast King Crazy GK baada ya hapo jana kutupia picha katika akaunt yake ya instagram...
View ArticleMwanafunzi Mwaka wa Kwanza Ajinyonga Baada ya Kufeli Mitihani.
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Ualimu cha Winneba, nchini Ghana, amejiua kwa kujinyonga mara baada ya jina lake kubandikwa kwenye ubao wa matangazo (notice board) kuwa amefeli masomo...
View ArticleHebu Angalia Kituko Alichokivaa Msichana Huyu Katika Ulimwengu wa Fasheni.
Je hii ni sawa, hivi kweli anaweza kukifanya hiki kama kivazi chake rasmi cha mtoko?Kitu kimoja, kivazi hiki kimenifanya niufikirie huu ulimwengu wa fasheni na hawa wabunifu wetu, hata sielewi ni nini...
View ArticleLulu akiri mahakamani kuwa alikuwa na uhusiano wa mapenzi na Kanumba.
Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabiri muigizaji wa kike, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu imesikilizwa leo (February 17) katika mahakama kuu, Kanda ya Dar es Salaam.Lulu alikiri mbele ya Jaji...
View ArticleMwanaume aliyempa ujauzito Lil Kim ajitokeza, ni rapper wa New York, ataja...
Wiki iliyopita mashabiki wa rapper wa kike na member wa zamani wa Junior M.A.F.IA, Kimberly Denise Jones aka Lil Kim walikuwa surprised baada ya rapper huyo kuweka wazi kuwa anaujauzito na kuonesha...
View ArticleMtaalam wa Saikolojia na uhusiano anaeleza sababu za watu kujiua au kuua kwa...
Bila shaka umewahi kusikia ama kwa bahati mbaya kushuhudia mtu aliyeamua kujitoa uhai ama kumtoa uhai mpenzi wake kwa sababu ya mapenzi.Wapo wanaoandika ujumbe wa sababu zilizopelekea yote yatokee...
View ArticleFilamu aliyoigiza Ben Pol 'Sunshine', kuzinduliwa February 20, Ben Pol...
Filamu aliyoigiza mwimbaji wa RnB, Ben Pol na mchekeshaji maarufu, Bi Kiroboto, iliyoandaliwa na kamupni ya Swahilihood itazinduliwa rasmi February 20 mwaka huu.Mratibu wa Swahilihood, Hassani Mrope...
View ArticleMCHAWI WA UNGO ADONDOKA, AGEUKA KUKU.
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji la Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla...
View Article