Mama Yake Rambo Mwenye Miaka 92 Baada Ya Upasuaji Wa Kubadili Sura.
Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji Sylvester Stallone aka Rambo ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee.Mama huyu...
View ArticleHiki ndicho kitu kinachofuata kutoka kwa Diamond Platnumz.
Diamond aliwahi kusikika akizungumzia kuhusu kuja kwa nguo zake ambazo zitakuwa na brand ya WCB na kuuzwa kwenye maduka mbalimbali.Mwaka jana Diamond alikaa China zaidi ya wiki nzima kabla ya kufanya...
View ArticleYajue hapa mambo yanahusiana na February 11 pamoja na mengine.
Siku kama ya leo miaka 32 iliyopita alizaliwa Kelly Rowland ambaye aliwahi kuja Tanzania na kufika hadi Uwanja wa fisi.Kelly alikuja kwa ajili ya kampeni ya Staying Alive Foundation ambapo alikuwa...
View ArticleSTEVE NYERERE"WASANII WENGI WA BONGO MOVIES HAWAJITAMBUI"
Mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ amesema wasanii wengi wa filamu hawajitambui, mbumbumbu na wabinafsi katika kila kitu, jambo linaloleta ugumu katika harakati...
View ArticleYoung Dee kumfungulia mashitaka mtu anayetumia jina lake Facebook kufanya...
Kumekuwepo malalamiko mengi kutoka kwa watu maarufu kutokana na kuwepo kwa watu wanaofungua akaunti za facebook kwa majina yao na kufanya utapeli.Rapper anaewakilisha kundi la Mtu Chee, Young Dee,...
View ArticleLinex akanusha kuwa na uhusiano wa mapenzi na Agnes Masogange, 'Sina haraka...
Linex Sunday Mjeda, ambaye hivi karibuni ameonekana kwenye picha kadhaa akipoz na video Queen maarufu Tanzania, Agnes Gerald (Masogange), amekanusha kuwa na uhusiano wa mapenzi na mrembo huyo kama...
View ArticleVigogo sita CCM waitwa Kamati ya Maadili.
Vigogo sita ambao wanatajwa kuwa wanajiwinda kwa ajili ya kuwania urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu ujao, wameitwa mbele ya Kamati ya Ndogo ya Maadili ya chama hicho, kwa ajili ya kuhojiwa kwa...
View ArticleVivian-namuheshimu Jaguar, mtuache.
Mwanamuziki Vivian Wambui, amewaomba wapenzi wa muziki kumheshimu na kuacha kumuhusisha na tuhuma za uhusiano wa kimapenzi na Jaguar.Amesema anaweza kuwa na uhusiano na mtu yeyote anayempenda lakini...
View ArticleIrene Uwoya:Wasanii bado hatujaweza kuthamini muda wetu.
Mwigizaji wa filamu na mtangazaji wa kipindi cha redio cha Paradise, Irene Uwoya, amesema licha ya kwamba wasanii wanafanya bidii kuyafikia mafanikio, kikwazo kikubwa katika safari yao ni kutokuthamini...
View ArticleWanasayansi wa kampuni ya Google:Wabuni magari yasiyotumia dereva.
Inawezekana kuwa na magari yasiyokuwa na dereva? Kampuni ya mawasiliano ya kompyuta ya Google inasema ndiyo. Magari hayo yapo na yataongozwa kwa kutumia kompyuta pekee, huku yakiwa na uwezo mkubwa wa...
View ArticleRAY AVUNJA UKIMYA"NIMEMISS .............STEJINI"
Ray C ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameahidi kurudi kazini (kwenye muziki) muda si mrefu sababu hata yeye ameimiss mic na jukwaa, “Naimiss steji vibaya mno!!!!” ameandika Ray C katika...
View ArticleUKWELI KUHUSU P-SQUARE.
Nyota toka nchini Nigeria, Peter Okoye wa kundi la P Square hivi kkaribuni kwenye mahojiano yake amefunguka kwa kusema kwamba kamwe kundi lao halitokuja kugawanyika kwa mmoja wao kufanya kazi peke yake...
View ArticleShilole Afunguka, Ataja Mapesa Aliyomwaga Kufanya Video Ya Chuna Buzi.
Shishi Baby, maarufu zaidi kama Shilole, ameweka wazi kuwa amewekeza kiasi cha shilingi milioni 8 katika kutengeneza video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina Chuna Buzi kwaajili ya kutoa kitu...
View ArticleKanisa Lingine La Ajabu Laibuka, Sheria na Misingi Yake Yashtua Wengi.Watu...
Kanisa lenye taratibu za ajabu za kuabudu limeibuka huko Virginia Marekani, ambapo waamini wake wameruhusiwa kuhudhuria ibada wakiwa uchi kutokana na madai kuwa Waamini wa makanisa mengi sikuhizi...
View ArticleAGNES MASOGANGE AFUNGUKA KUHUSU KUTONGOZWA NA WANAUME WAKWARE.
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema kuwa ana mtu wake.Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni,...
View ArticleDIVA LOVENESS NDANI YA PENZI ZITO LA CRAZY GK WA EAST COAST.
Diva akipenda, ulimwengu wote utajua. Hajui kuficha siri na haoni shida kuweka wazi hisia zake wote wajue. Na kwakuwa Valentine’s Day ndio hii, mtangazaji huyo wa redio ambaye kwa sasa ana uhusiano na...
View ArticleWEMA: PIGA, UA LAZIMA DIAMOND ANIOE.
Licha ya mama yake mzazi kupinga kwa nguvu zote, staa wa filamu nchini na mtangazaji wa Kipindi cha Runinga cha In My Shoes, Wema Sepetu ameapa kwamba hata iweje, lazima msanii maarufu wa muziki wa...
View ArticleKIMWANA ALIYE VUNJA NDOA YA BOB JUNIOR AFUNGUKA LA MOYONI.
Mama wa mtoto wa kike mmoja na muigizaji kutoka kenya ambaye vile vile ni Promota ambaye alikumbwa na skendo kuwa ndiye chanzo cha ndoa ya msanii kutoka Tanzania Bob Junior na mkewe kuvunjika....
View ArticleKutana na Mwanamke Mwenye Kiuno Kidogo Kuliko Wote Duniani.
Mwanzoni nilikuwa natia shaka juu ya hili mpaka nilipokuja kuona kuwa naye yumo miongoni mwa watu kwenye kitabu maarufu cha kumbukumbu za Guinness world.Cathie Jung ana miaka 77 na ndiye mwanamke...
View ArticleMB Dog aeleza vitu anavyomiss Tip Top Connection.
Member wa zamani wa Tip Top Connection, MB Dog aliyeiteka Tanzania na Afrika mashariki na hit isiyozeeka masikioni mwa mashabiki wengi ‘Latifa’ amezungumzia mambo aliyoyamiss kwa kuwa nje ya kundi...
View Article