Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tendo la ndoa Ni Tiba mbadala ya maradhi ya moyo,ubongo na maumivu ya kichwa.

Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi, lakini kwa wanandoa, tendo  hilo linatajwa kuwa na manufaa mengi  kiafya tofauti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK Cheni adai filamu yake 'Nimekubali Kuolewa' haichochei ushoga kama bodi ya...

Uamuzi wa bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kuizuia filamu ya muigizaji wa kiume na mkongwe, Dk Cheni ‘Nimekubali Kuolewa’, kwa madai ya kukiuka maadili na kuchochea tabia za ushoga, umepingwa na msanii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AY kuachia wimbo mpya 'Asante' February 10, amemshirikisha Dela.

Mwaka 2014 umeingia mwezi wa pili huku mashabiki wa muziki wakipata nyimbo mpya kadhaa kutoka kwa wasanii wanaowakubali.Lakini mwezi February ndio kama umewasha green light tena kwa mwimbaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jose Chameleone amuonesha mkewe 'Danniella' anavyompenda kwa kuchora tattoo...

Wakati tunaelekea katika ile siku inayoaminika kuwa siku ya wapendanao ‘Valentine’s Day’, mkali wa Valuvalu Jose Mayanja Chameleone ameamua kumuonesha mkewe Daniella na dunia nzima jinsi anavyompenda,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole ayazungumzia makavu aliyorushiwa na Baby Madaha, 'najua kuna vitu...

Baada ya msanii wa Candy n Candy, Baby Madaha kufunguka akimchana wazi msanii mwenzake wa kike, Shilole aka Shishi Bybee kwa kudai kuwa nyimbo zake haziwezi kulinganishwa na nyimbo anazofanya Shilole,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH.LOWASSA AKANA UMILIKI WA KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII.

Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mh. Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter,Instagram...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simu 600 zanaswa kwenye Gereza la Kamiti.

Zaidi ya simu 600 za mkononi pamoja na takriban laini 5,000 za simu zimenaswa katika gereza la Kamiti Maximum baada ya msako wa kushtukiza uliofanywa chini ya usimamizi mkuu wa gereza hilo.Naibu ofisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAY WA MITEGO AMEMNUNULIA GARI MPYA MPZ WAKE.PIA AMESEMA MWAKANI ATAMNUNULIA...

Rapper Ney Wa Mitego aka True Boy kaweka hii picha na maneno haya kuhusu gari mpya aliyomnunulia Mpenzi wake huku akiahidi kumnunulia Prado mwakani.” Zic iz 4u bby..#zawadi #yako my #super...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Karudisha Muonekano Wake Wa Zamani.

Kwa Shabiki wa msanii wa bongo fleva mwenye nyimbo nyingi na zinazopendwa kwa sasa, Msanii Diamond, Jamaa karudisha muonekano wake wa kawaida na kaweka hii picha kwa ajili yako.Hii ndio ilikuwa comment...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Binadamu Wa Kwanza Kupewa Mkono Wa Kieletroniki Wenye Hisia.

Repoti ya Bbc Kuhusu Mlemavu mmoja kutoka Denmark Dennis Aabo ambaye amekuwa binadamu wa kwanza kupewa mkono wa kieletroniki wenye hisia kama ule wa binadamu Iko Hapa.Mfumo wa mkono wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hawa Ndio Wachezaji Wanaopinga Matumizi Ya Makahaba katika Kombe La Dunia...

Hii Ni kutoka kwa wachezaji wa ligi zinazofwatiliwa zaidi duniani,Ligi ya soka ya Uingereza na ligi ya Brazil. Wachezaji hawa wameunga mkono kampeni ya kupinga kutumiwa kwa makahaba watoto wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Facebook Inawatumiaji Wangapi, Imefikisha Miaka Mingapi Na Watu Gani...

Facebook inasherehekea miaka kumi wiki hii tangu kuzinduliwa. Ina watumiaji bilioni 1.2. Lakini nani anatumia Facebook and wanaitumia kwa njia gani?Mishumaa kwenye keki ya Facebook inaposherehekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA.

THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu akisema kuwa sababu ya yeye kuonekana kwenye jukwaa moja na aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA AKIRI UCHAWI UPO BAADA YA KUPIGWA JUJU NA KUSINGIZIWA KUJIUZA.

Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo yaliyomtokea hivi karibuni haelewi hata imekauje.Chanzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gauni La Mariah Carey Linaloteka Vichwa Vya Habari Ndio Hili.

Kwenye sherehe ya BET Ya mwaka 2014 yakushukuru wasanii na watu maarufu kwa mchango wao kwenye mambo tofauti,red carpet ya shughuli hio ilipambwa na wasanii kama Ice Cube, Tamar Braxton, Jennifer...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Ya BBC Kuhusu Shabiki Wa Liverpool Aliyeuliwa Kenya.

Mwanamume raia wa Kenya anayeshabikia klabu ya soka ya Uingereza ya Liverpool amedungwa kisu na mwenzake wa klabu ya Arsenal na kufariki dunia katika eneo la Meru Mashariki mwa Kenya.Kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ja Rule aeleza kilichotokea baada ya kupanda ndege moja na 50 Cent.

Miezi kadhaa iliopita (mwaka jana), kulikuwa na habari ambazo zilithibitishwa na Ja Rule kuwa walijikuta wamepanda ndege moja na 50 Cent ambaye bado lile vuguvugu la uadui kati yao linaeleweka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utumiaji wa Facebook kupita kiasi huhamisha usaliti wa mapenzi, ushahidi wa...

Mtandao wa facebook ambao ulianzishwa kama utani miaka 10 iliyopita (February 4, 2004) na mwanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard, Mark Zuckerberg, imekuwa ni njia rahisi ya kuwasiliana ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAYDEE AOMBA USHAURI KUBADILISHA JINA LA BAND YAKE, HATAKI TENA MACHOZI.

Muimbaji wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee afikiria kubadilisha jina la band yake kutokana na machozi yaliyokuwa yakimliza kipindi hicho yameshafutika.Amefikiria kubadilisha jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya ufaransa yadai Obama ana uhusiano wa kimapenzi na Beyonce.

Kuna mgongano wa habari kati ya baadhi ya vyombo vya habari vya Ufaransa na vile vya Marekani kuhusu uhusiano uliopo kati ya Beyonce Knowles na rais wa Marekani, Barack Obama.Gazeti la Ufaransa la Le...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live