
Kwenye sherehe ya BET Ya mwaka 2014 yakushukuru wasanii na watu maarufu kwa mchango wao kwenye mambo
tofauti,red carpet ya shughuli hio ilipambwa na wasanii kama Ice Cube, Tamar Braxton, Jennifer Hudson na Ludacris.Mitandao Marekani wameamka na hii story kuhusu gauni la Mariah Carey aliyovaa kwenye shughuli hio.