Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINGWEDU"NIMEJIPANGA VYA KUTOSHA KUINGIA BUNGENI 2015"

Mwigizaji wa Comedy (Futuhi) Anajulikana kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia yake ya kuwania Ubunge katika kinyanganyiro cha 2015, Amesema kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia mjengoni , Kuhusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HICHI NDICHO ALICHOSEMA MADAM RITA JUU YA WANAUME WACHAFU.

Madam Rita Kaamua kufunguka kama hivi kwa wale wanaume wasio jua nini maana ya Utanashati..jisomee mwenyewe hapa chini.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAJIRI WA HUYU MSANII WA FILAMU ZA KIBONGO BAADA YA KUTOKA JELA IKO HAPA.

MIEZI tisa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kumhukumu staa wa filambu za Bongo, Kajala Masanja kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya shilingi milioni 13 kwa kosa la utakatishaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole aeleza sifa za mwanaume atakayefunga nae pingu za maisha.

Linapokuja suala la mwenzi wa kufunga nae pingu za maisha, wengi hutaja sifa zinazotofautiana na sifa za boyfriend ama girlfriend wanaetaka kuwa naye. “Kuishi na mwanaume mwenye meno 32, hukutoka naye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyota wa Filamu za Ngono Kufanya Mapenzi na Wanaume 23 Siku Atakapotimiza...

Msanii chipukizi wa wa filamu za ngono Heidi Van Ho'rny ana mpango wa kufanya pati ya kipekee kwenye siku yake ya kuzaliwa ndani ya Montreal.Kwa watu wengine huwa ni mishumaa na keki, na kwa baadhi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Iringa Mjini asomewa mashtaka kwa tuhuma za kujeruhi.

 Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Iringa akidaiwa kuhusika na uchochezi na kusababisha vurugu katika kampeni za udiwani Kata ya Nduli.Mch. Msigwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aamka asubuhi na kukuta miguu imekatika.

Mmkazi wa Ludewa, Mkoani Njombe, Yohana Nkwera (54) anadai kukatika miguu katika hali ya kushangaza.Yohana anasema katika maisha yake amekuwa ni mwenye hofu kubwa baada ya kukumbwa na tukio hilo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wauza ‘unga’ sasa wabuni mbinu mpya.

Wasafirishaji wa dawa za kulevya wamebuni mbinu mpya baada ya Kikosi cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kukamata kilo 3.5 za heroini zikiwa zimefungwa kwenye vifurushi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchungaji afungwa kwa ubakaji.

Kiongozi wa kanisa moja nchini Zimbabwe amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela kwa kosa la kuwabaka wanawake watatu na kukutwa na vifaa vya kuchochea kujamiiana.Kiongozi huyo, Martin Gumbura (57) wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI:SIKU HIZI KUNA BIASHARA ZA MAFUMANIZI...WANAUME KUWENI MAKINI.

Nawatahadharisha,kuna rafiki yangu baada ya kupigika na maisha toka mwaka juzi akapata wazo la kuanzisha biashara ya mafumanizi.Ameajiri wadada 5 kinachofanyika anawatumia hao wadada kuandaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTUHUMIWA WA UJAMBAZI AMUUA ASKARI POLISI KWA JIWE WAKATI AKIMPELEKA MAHABUSU.

Askari polisi F. 5264 PC Sabato (37) wa Kituo cha Polisi cha Longido, wilayani Monduli, ameuawa kwa kupigwa jiwe na mtuhumiwa aliyekuwa akimpeleka mahabusu katika Gereza la Kisongo.Kamanda wa Polisi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGAUNI CHA MSANII LULU CHALETA SHIDA..

Siku za karibuni Lulu Alionekana mitaa ya Sinza na Kigauni hicho iliyopelekea watu kujiuliza Maswali kama kweli Bi Dada Amebadilika kama alivosema..Utata huo umekuja baada ya watu kuhoji kama kweli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEGO WA KUJIUZA WAMBADILI BABY.

BAADA ya mwanamuziki Baby Joseph Madaha kunaswa na mtego wa kujiuza uliotegwa na gazeti hili hivi karibuni, mdada huyo anaonekana kubadilika na anadai mgogoro uliojitokeza kati yake na meneja wake, Joe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIFO CHA KANUMBA-LULU KESI UPYAA.

Stori:RICHARD BUKOSKAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEVE NYERERE UENYEKITI WA BONGO MOVIES WAANZA KUMTOKEA PUANI.

Steve Nyerere Amesema Inamuwia vingumu kufanya kazi kutoka na kukosa ushirikiana kutoka kwa wana bongo Movies wenzake.Amehabarisha kuwa kuna baadhi walio mchagua kuwa mwenye kiti wao ili wamzalilishe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU SASA ARUHUSU MATUSI,ASEMA HATA UMTUKANE VIPI HAUMII,SO KEEP ON.

Mchumba wa Diamond Platnumz Wema Sepetu Ameamua kuwatolea makavu wale wote wanao penda kumtukana kwenye mitandao hasa Instagram ...Jisomee Mwenye Alicho Andika hapa chini ..Kama wewe ni mmoja wapo basi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jamaa Huyu Ana Miaka 29 na Tayari Ana Mjukuu.

Jamaa mwenye umri wa miaka 29 aitwaye Shem Davies ni mtu ambaye hana kazi kwa sasa, ila ameweka historia ya kuwa mtu kijana zaidi kuwahi kupata mjukuu kwenye historia ya Uingereza, mara baada ya mtoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba Amrusha Mtoto Wake wa Kike Toka Gorofa ya 3 Baada ya Kumfuma na Mvulana...

Baba mmoja mwenye hasira, Deji Kamoru, hivi sasa yupo kwenye mtatizo makubwa kutokana na kitendo chake cha kumrusha mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 14, Aishat toka gorofa ya tatu mara baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikulu ya Marekani Chini ya Ulinzi Mkali Mara Baada ya Kukamatwa kwa Jamaa...

Ikulu ya Marekani imekuwa chini ya ulinzi mkali mara baada ya mtu asiyetambulika alipokamatwa akijaribu kuruka uzio wa Ikulu hiyo mnamo siku ya Ijumaa mchana.Maafisa wa usalama wa nchi hiyo walimkamata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balotelli Kwenye Mtindo Mpya wa Nywele.

Mchezaji wa timu ya taifa ya Italia na mshambuliaji wa timu ya AC Milan, ambaye hivi karibuni alikuwa akihusishwa na uhamisho wa kurudi tena kucheza kwenye Premier League juzi kati kupitia ukurasa wake...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live