BAD NEWS KWA HASHEEEM THABEET.
Mtanzania Hasheem Thabeet amejikuta akikumbwa na hofu ya kupoteza namba yake baada ya mchezaji Steve Adams anayechipukia raia wa New Zealand ambaye amesajiliwa mwaka jana na club ya Oklahoma city...
View ArticleFORBES MAGAZINE REVEALS MO AND MAKAMBA JR AMONG 10 POWERFUL MEN IN AFRICA 2014.
Mohammed Dewji, Tanzania, Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania LimitedDewji is the Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) and at 39 is...
View ArticleNAPANDAGA GARI YA HUYU DADA MARA NYINGI, ILA NGUO ANAZOVAAGA HUNIFANYA...
Tunaishi wote mtaani hivyo mara nyingi tu hunipaga lift nikiwa labda natoka kazini au nikiwa naelekea kazini, wakati mwingine akiwa mjini hunipigia simu ili turudi wote mtaani ila niko na wakati mgumu...
View ArticleMAN UTD KAMA KAWAIDA YAO, WALALA 2-1 KWA STOKE CITY.
Mmmmh Jamani mie sio mshabiki wa Mpira kiivyo ila navyoona na ninavyosikia kila kona Man u jumba limewaangukia mwaka huu kila siku wakicheza lazima wapigwe 2 something ....mmmh wanahitaji maombi tena...
View ArticleTP Mazembe Wanasema Mbwana Samatta Ndio Mchezaji Bora Mwaka 2013.
Mbwana Samata ambaye ni mshambuliaji wa Taifa Stars amepewa kura ya kuwa mchezaji bora wa mwaka 2013 namashabiki wa TP Mazembe. Kwenye Mtandao wao tarehe 29 waliweka hio picha hapo juu na kuandika kuwa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumapili February 2 2014.
...................................>>Gonga Like Yako Hapa>>
View ArticleNamna Jokate alivyom-surprise Wema On Stage Arusha.
Unaweza kujikuta ukishindwa kuielewa hii hali lakini inabidi ukubaliane na ukweli halisi wa hiki kilichotokea,Jokate na Wema historia yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo...
View ArticleHEBU CHUKUA MUDA WAKO KUSOMA STORI HII YA KWELI YA KIJANA ALIYECHOMWA MOTO...
Bwana Zimbo (kwenye picha), alikuwa hajaajiliwa kupata kazi tangu alipomaliza chuo, na alishika nafasi ya kwanza kabisa kitaifa katika University of Port Harcourt alipokuwa akichukua degree ya pili....
View ArticleMWANADADA AFUNGA NDOA NA WANAUME WAWILI.
Mwanamke huyo pichani anayeitwa Belinda mwenye umri wa miaka 32, akiwa na mume wake wa kwanza, Yasemekana mwanamke huyu alifanikiwa kufanya udanganyifu huo kwa kushirikiana na Baba yake mzazi.Gazeti...
View ArticleBOB JUNIOR AWACHANA WASANII WA BONGO MOVIE WALIOJIUNGA NA CCM.
Kufuatia baadhi ya wasanii wa Bongo Movies na mmoja wa Bongo Flava kutangaza kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi huko Mbeya katika Maanzimisho ya miaka 37 ya chama hicho. Kumekuepo na mawazo tofauti...
View ArticleTHAMANI YA MALI ALIZOKUWA ANAMILIKI HAYATI NELSON MANDELA ZATANGAZWA.
Mandela alifariki mwezi Disemba mwaka jana akiwa na umri wa miaka 95 Hayati Nelson Mandela, aliachia familia yake mali yake yenye thamani ya dola milioni 4.1. Sehemu ya mali hiyo pia itatolewa kwa...
View ArticleAT KATIKA AIBU NZITO 2014, MGANGA AIBUKA NA KUDAI AMESEPA NA LAKI TISA ZAKE.
Leo asubuhi nilipoamka nilifungulia radio yangu nikakuta Dk Sharifaa akifunguka na kudai kuwa yeye ndio mganga wa A.THuu ndio ujumbe wa Dk Sharifaa (Mganga)‘‘Tangu bado hajafahamika yaani sio...
View ArticleWEMA SEPETU"NIKIFA MIMI LEO AU KESHO NIAGWE UWANJA WA TAIFA"
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje ya...
View ArticleLADY JD AOMBA TALAKA, GARDNER APATA MSHITUKO..AELEZA KILA KITU
Stori na Shani Ramadhan.UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa...
View ArticleHUYU NDIO BINADAMU WA KWANZA KUFIKISHA FOLLOWERS MIL 50 KWENYE MTANDAO WA...
Mwanamuziki Ajulikanae kama Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza kufikisha followers Milion 50 kwenye mtandao wa Twiiter ...Anae fuata kwa nyuma ni Justiner Birber ambae ana followers Mil 49 na wa Tatu ni...
View ArticleHUYU NDIO PRODUCER WA BONGO FLEVA ANAYETAKA KUNUNUA NDEGE BINAFSI HIVI KARIBUNI.
Producer Machachari wa Hapa Bongo Anaejulikana kama Lamar Amehabarisha Radio Moja hapa Bongo Kuwa ana Mpango wa Kununua Ndege yake Binafsi ili kumrahisishia Mizunguko yake Sehemu Mbali Mbali ...Amesema...
View ArticleHAWA NDIO WASANII WA BONGO MOVIES NA BONGO FLAVA WALIOAMUA KUJIUNGA NA CCM.
Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava Wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha CCM , Wasanii hao ni JB , Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na...
View ArticleMWIGIZAJI MAINDA HOI HOSPITALINI.
Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda', akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambayo jina lake hakutaka kulitaja mara moja. SOMA UJUMBE ALIOUANDIKA KWA MKONO WAKE HAPO...
View Article