
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe
uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje ya Tanzania hivyo pale Leaders walipozoelea kuaga Watu maarufu hapata Tosha ,Alisema uwanja wa taifa utampatia kila mtu chance ya kumuaga....Mweeeeee Makubwa
CREDIT:Udaku Specially