
Akiwa kwenye show aliyofanya huko Penn State, ikiwa ni muendelezo wa tour yake ya ‘Yeezus’, rapper huyo alisimamisha muziki wakati fans wakiwa wanashangweka na wimbo wake ‘Touch The Sky’ na ghafla akaanza kuporomosha matusi kwa madj wa wawili wa radio wanaofahamika kwa majina ya Charlamagne na Sway.
Kanye aliwachana kwa kuwataja majina kutokana na beef iliyokuwepo kati yao mwaka jana ambapo maDj hao kwa nyakati tofauti walikosoa tabia za rapper huyo na kumtaja kama mbinafsi na mwenye majivuno (egoistic and narcissism).
“If I go to a radio interview, SHUT THE F**k UP!!! ... Diss me, talk sh*t. What the f**k did you do? What have you done with your motherf**kin' life, Charlemagne? Sway?”
Lakini kama walivyosema kuwa ni mtu wa majivuno, akawapa na jinsi ambavyo ameweza kufanikiwa katika kipindi cha miaka kumi tangu aanze muziki akiwa Chicago.
“We in the studio every night. We get up at 5 A.M., we write nice s**t, working hard on that s**t, this ain't no joke. We think about nobody, we think about Shakespeare, we think about Beethoven, what can we make for y'all, what u playin' in y'all way to school on y'all way to work. What can we make to y'all feel better?”
Kuonesha kuwa aliyoyasema alikuwa aliyapanga tangu awali na ilibidi ayaweke yaingilie show kama matangazo muhimu, akajigamba kuwa yeye ndiye Yeezus na kisha akaamuru show iendelee, “that was the intermission now I will continue with the show.”
Matusi hayo yalimgusa Dj Charlamagne na akaamua kuweka ya moyoni kwenye mtandao wa kijamii wa twitter, akioneshangaa kwa nini Kanye ameamua kufanya hivyo wakati tayari imeshapita miezi minne tangu hayo yote yatokee mwezi October mwaka jana.
“I hope Kanye rants about me in every cit. Charla-MAYNE. Kanye’s first rant in months and its about me based off an interview that happened in October? That’s pretty dope.” Aliandika Dj huyo.