Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yapata tuzo mpya, 'Tuzo za Watu', zinawahusu mastaa wanaopendwa...

Katika mwaka 2014, tasnia ya burudani Tanzania imepata kitu kipya kabisa ambacho kinaweza kuwa chachu katika kuendeleza tasnia hiyo hapa nchini na kuwafanya wadau wa tasnia hiyo kuongeza juhudi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ndio Msanii aliyetangaza kuwa atafungwa jela wiki hii.

Katika hali ambayo haikutegemewa, rapper Deandre Cortez Way aka Soulja Boy amewaambia mashabiki wake kuwa ataenda jela.Rapper huyo mzaliwa wa Chicago ametweet February 15 na kuonesha kuwa baada ya siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MB Dog aliwahi kulipwa shilingi Milioni kumi kwa show moja miaka ile.

Kama ulifikiri bongo fleva ilianza kulipa mamilioni miaka ya akina Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz na wengine, nikimaanisha kuanzia mwaka ya 2010, kwa leo inabidi ubadili mawazo yako.“Lakini uzuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGA!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuzo Za Kili 2014 Zimezinduliwa Leo, Fahamu Alichosema George Kavishe Na...

Tuzo za kili zimeanza rasmi mwaka 1999 na mambo mengi yameboresha baada ya wadau wa muziki Tanzania kutoa sababu zao.Kili Music awards 2014 mwaka 2014 zimezinduliwa tarehe 17/2/2014. Brand Manager wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMEFANYA MAPENZI NA SHEMEJI YANGU KWA BAHATI MBAYA..PLEASE HELP.

Naombeni ushauri wa hali na mali katika hili , Siku kadhaa zilizopita hapa nyumbani kwetu tulifanya sherehe ya birthday ya mtoto wetu kutimiza miaka mitano tuliwaalika ndugu wengi hapa home kwa ajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDDAH MONROE ATUPIA PICHA ZENYE UTATA KWENYE MTANDAO...MMHH JIONEE

Jamani huyu Dada Noma Jionee Hapa ...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LINAH SANGA NA SKENDO YA UJA UZITO WA MUHINDI AKA MDOSI.

Habari ya Mjini leo kutoka katika Gazeti Moja Linasema Linah Sanga Amedungwa Ujauzito na Mdosi mmoja Ajulikanae kwa Jina Nagar Aneye Ishi Mbezi , amekuwa karibu na Mhindi huyo anayedaiwa kuishi Mbezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA AAMUA KUACHA MZIKI NA FILAMU..SKENDO NA PRESHA ZIMEMCHOSHA.

Baby Madaha Amehabrisha kuwa Ameamua kuacha fani ya mziki na ya Uigizaji kwa kila anachosema kuwa kuna maisha ya Presha , kila unalofanya linaandikwa mitandaoni na magazetini , Amesema kuwa kibao chake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rubani aliyeteka ndege ya Ethiopia ajisalimisha.

Rubani msaidizi wa ndege ya Shirika la ndege la Ethiopia iliyokuwa ikielekea Roma,Italia aliteka ndege hiyo Jumatatu na kuitua salama Geneva ambako alikamatwa.Maafisa wanasema rubani huyo ambaye jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Amanda aandika ujumbe unaolishambulia gazeti lililoandika habari inayodai...

Msanii wa filamu za kiswahili aka Bongo Movies, Amand Poshy, ameonekana kukerwa na habari iliyoandikwa na gazeti moja hapa nchini katika ukurasa wake wa mbele likiwa na kichwa cha babari 'Amanda ajiuza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rihanna adai hakupenda kuwa maarufu na alipenda muonekano wa 'jike dume'...

Robyn Rihanna Fenty, Mwimbaji maarufu na mwenye mafanikio makubwa kimuziki na hata katika ulimwengu wa mitindo ameeleza kuwa hakupenda kabisa kuwa maarufu, ila umaarufu ulikuja tu.RiRi amefunguka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO KITADO CHA NNE YAKO HAPA.

Bofya Hapa Matokeo ya kIdato Cha nne

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ditto azungumzia miradi aliyoianzisha kupitia muziki wake, kampuni ya kuandaa...

Muziki unalipa na unaweza kuwa chanzo cha utajiri kwa mwanamuziki mwenye akili ya kijasiriamali anayeutumia kufungua miradi mingi huku akichukua uamuzi unaoweza kuawa na madhara kibiashara kwa mahesabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond kuhudhuria tuzo za 'AFRIMMA' zitakazofanyika Texas Marekani,...

July 26 mwaka huu, wasanii wengi wakubwa Afrika kutoka katika mataifa ya 17 watakutana Dallas, Texas, Marekani kuhudhuria utoaji wa tuzo za kiafrika zinazojulikana kama ‘AFRIMMA Awards’, na tayari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ashanti aeleza siri ya kuwa na umbo lenye mvuto wa 'kibinti' ingawa umri...

Kama kuna kitu kinachowashinda wanawake wengi duniani ni kuendelea kulitunza umbo walilokuwa nalo enzi za usichana ama enzi hizo wakiwa mabinti hadi wakati ambapo umri umeenda ama wamepata watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Abdu Kiba aeleza chanzo cha ukimya wa kaka yake 'Ali Kiba'

Ali Kiba, mwimbaji aliyewahi hutajwa na mfalme wa R&B duniani Robert Kelly kama mmoja kati wa wasanii wenye sauti poa zaidi katika mradi wa One 8 amekuwa kimya kwa kipindi cha mwaka mmoja, huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wyre, Chameleone na Radio & Weasel watajwa kuwania tuzo za muziki za dunia,...

Wyre The Love Child wa Kenya, na Jose Chameleone wa Uganda ni miongoni mwa wanamuziki wa Afrika walioingia katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume katika tuzo za muziki za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fid Q aitaja 'Machozi Jasho na Damu' ya Profesa Jay kama albam bora ya karne.

Rapper toka Rock City Mwanza, Fareed Kubanda aka Fid Q ama Ngosha The Swag Don ameipa nyota zote albam ya Profesa Jay ya mwaka 2001 ‘Machozi Jasho na Damu’, na kuitaja kama albam bora zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume apokea vitisho vya kuuawa, adai anajiona...

Harnaam Kaur, mwanamke mwenye umri wa miaka 23 anayeishi katika mji wa Slough, Kusini Mashariki mwa Uingereza amepokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa watu asiowafahamu kwenye mitandao kwa sababu ya...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live