FORMULA MPYA YA KUSAHIHISHA MITIHANI YAWABEBA WENGI MATOKEO KIDATO CHA NNE.
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa kidato cha nne wa 2013, huku ufaulu ukiongezeka kwa asilimia 15.17.Matokeo hayo ni ya kwanza tangu kuanza kutumika kwa...
View ArticleMAPENZI YA RAY, CHUCHU HANS NI PIGO!
Stori: Gladness Mallya na Hamida HassanNi pigo kubwa! Ile ndoa inayodaiwa kukaribia kufungwa kati ya nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Miss Tanga 2006 aliye pia msanii wa filamu Bongo,...
View ArticleRooney awa mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi EPL baada ya kusaini...
Neema imemdondokea zaidi mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney baada ya kudondosha wino na kusaini mkataba mnono wa kuendelea kuichezea timu hiyo hadi June 2019.Rooney ambaye ameichezea timu...
View ArticleSaid Fella: Mimi sio mwanamuziki, ila kuna muda nauzingua tu muziki.
Meneja mkongwe ambaye pia ni msimamizi wa kundi kubwa la muziki la ‘Wanaume Family’ kutoka Temeke, Said Fella ameeleza kuwa yeye katika muziki wa Tanzania sio mwanamuziki bali kuna muda anaamua tu...
View ArticleHATIMAYE HUDDAH MONROE AMTAJA MPENZI WAKE MPYA..HUYU HAPA.
Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika jumba la Big Brother msimu uliopita, Huddah Monroe ambaye pia alikuwa mpenzi wa rapper Prezzo, ametangaza kuwa kwenye penzi jipya na msanii mwingine wa Kenya aitwae...
View ArticleMAJINA YA WASICHANA NA WAVULANA 10 BORA KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.
Kwenye matokeo ya kidato cha nne Watahiniwa wa kike wamefanya vizuri kwa kuchukua nafasi saba kati ya 10 za juu, huku Shule ya Marian Girls ya Pwani ikiongoza kwa kuwa na wanafunzi wanne. Mwanafunzi...
View ArticleDiego Maradona Kamvalisha Pete Huyu Mpenzi Wake.
Diego Maradona amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake mwenye miaka 23 Rocio Oliva baada ya kugundua wanategemea mtoto wao wa kwanza.Rocio ambaye aliwahi kuwa mchezaji wa mpira wa miguu ameanza...
View ArticleDiego Maradona Kurudi Uwanjani Tena Na Timu Atakayochezea iko Hapa.
Nyota wa kimataifa kwenye soka ambaye ni mchezaji mwenye umri wa miaka 53 kutoka Argentina Diego Maradona amekuwa katika mazungumzo na klabu ya Deportivo Riestra, ambayo inashiriki ligi ya chini...
View ArticleBAADA YA KULALAMIKA, SASA POSHO YA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA KUWA SH. 500,000/=
Posho Bunge Maalumu la Katiba kuwa 500,000 kwa siku. Habari zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Leo kwamba Kamati ya kufuatilia posho za wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba imependekeza kwa Rais...
View ArticleMNYIKA ATOA MAONI KUHUSU MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh. John Mnyika.Maoni yangu kuhusu matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaliyotangazwa na kuelezwa kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 15.17...
View ArticleMGANGA WA DIAMOND YAMEMKUTA.
Yule mganga anayejitapa kumtengenezea nyota ya mvuto staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya yamemkuta mazito.Habari za uhakika zilizolifikia gazeti hili zinaeleza kuwa jamaa...
View ArticleKINACHOWAPONZA WANAWAKE WENGI NI MAAMUZI DUNI KWENYE MAMBO YA MSINGI..ONA HII
Kinachowaponza Wanawake ni POOR DECISION MAKING IN CRITICAL ISSUES.Unakuta mtu anajua kabisa ana Boyfriend Levi la Kutupwa,analala mtaroni kila siku,anafikishwa nyumbani hajitambui kafikaje,yeye yupo...
View ArticleDully Sykes kuachia wimbo mpya aliomshirikisha Diamond, unaitwa 'Chipolopolo'
Mkali wa Bongo Flava, Abdul Sykes aka Prince Dully Sykes amepanga kuachia wimbo wake mpya aliyomshirikisha Diamond Platinumz, wimbo alioupa jina la ‘Chipolopolo’.Mkali huyo ambaye wiki iliyopita video...
View ArticleLady Jay Dee aeleza sababu za kujifunza Karate, anataka kumkabili nani?
Moja kati ya surprises zilizokuwepo wiki iliyopita ni pamoja na habari ya Lady Jay Dee aka Anaconda kujifua kikomando kuumudu mchezo wa Karate, habari iliyoambatana na picha zikimuonesha akifundishwa...
View ArticleASKOFU BILIONEA ATIKISA BONGO.
ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi  kwa kuwa na...
View ArticleMREMBO AFIA GESTI ARUSHA.
Stori: Joseph Ngilisho, ArushaMREMBO mmoja ambaye alihu-dumu kwenye nyumba ya kulala wageni na baa (jina tunalo) iliyopo Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Blandina Michael (33) amekutwa amekufa...
View ArticleKAJALI ALISHWA SUMU, AKIMBIZWA HOSPITALINI.
Mwanadada mwigizaji Kajala juzi alikumbwa na dhahama ya kusikitisha baada ya kulishwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni sumu alipokuwa kwenye show ya msanii wa muziki kizazi kipya Izzo Business.Akielezea...
View ArticleHAYA NDIYO MADHARA YATOKANAYO NA NGUO ZA KUBANA (SKIN TIGHT)
KADIRI siku zinavyokwenda kumekuwapo na ugunduzi wa vitu mbalimbali vinavyochangia kuleta mabadiliko katika jamii.Mabadiliko hayo yanaweza kuwa hasi au chanya kutegemea na aina ya  bidhaa...
View ArticleLouis akanusha taarifa za kujiunga na klabu ya Tottenham.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis van Gaal amekanusha taarifa za kuwa mbioni kujiunga na klabu ya Tottenham Hotspurs ya nchini Uingereza ambayo kwa sasa ipo chini ya utawala wa menejaTim...
View ArticleMCHUNGAJI FEKI ALIYETABIRI KUA MWISHO WA DUNIA NI MWAKA 2000 AFARIKI DUNIA.
kiongozi wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.Bushara ambaye alivuta vyombo vingi vya habari...
View Article