Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAKTARI FEKI MWINGINE AKAMATWA MUHIMBILI.

Jana February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond,Wasanii Watumie Ujuzi Kukuza Sanaa Kuliko Kupika Majungu.

Diamond Ni msanii anayefatiliwa na kuandikwa zaidi kwenye mitandao kuhusu Muziki na Maisha yake, Ni msanii mwenye kazi nzuri na vituko pia kwenye sanaa ndio maana anajikuta akiwa na mashabiki wengi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU KUACHISHWA KAZI KWA KOCHA WA TAIFA STARS.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili.Uamuzi huo umetangazwa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ETO'O AHUSISHWA NA KUDANGANYA UMRI WAKE. EX-GIRL WAKE AFUNGUKA.

“Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto’o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?”.Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae mpenzi wa zamani wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA AFUNGUKA "SHILOLE NI MCHEZA VIGODORO"

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Madaha’ amemchana staa mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumwambia ni mcheza muziki wa uswahilini (vigodoro).Kauli hiyo ya msanii huyo anayetamba na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MARUFUKU KUVAA VIMINI BUNGE LA KATIBA.

Wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba na wageni wa jinsi hiyo watakaovaa nguo fupi ‘vimini’ au nguo za kubana, hawataruhusiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge.Hayo yamo katika mapendekezo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIRI ZAANZA KUVUJA, WOLPER AKIRI MANAIKI SANGA ALIMPA HELA ILI APIGE NAE PICHA.

 Msanii nyota kwenye tasnia ya filamu za kibongo Jacqkline Wolper na Manaiki Sanga, anayejulikana kama The Don, wako katika bifu kubwa kisa kikiwa ni picha walizopiga pamoja.Tukio hilo limechukua sura...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

January Makamba na Sugu washiriki kwenye wimbo wa hip hop wa kusisitiza sanaa...

Kilio cha wasanii kuitaka katiba mpya kuitambua sanaa ya Tanzania kama sekta rasmi kimepewa sapoti na Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January makamba na mbunge wa Mbeya Mjini Joseph...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Oprah Winfrey kutayarisha filamu ya Martin Luther King inaitwa 'Selma'

Mchakato wa kuhakikisha mwaka huu filamu ya mwanaharakati wa Marekani, Martin Luther King inakamilika unaendelea baada ya kushindwa kukamilika mwaka jana.Kwa mujibu wa Deadline, malkia wa talk show...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki Ya Dunia Kuinyima Uganda Msaada.

Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuizinisha sheria mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sifa Kuu Tano Za Mwanamke Ambazo Mwanaume Kamili Anapenda Kuziona Ama...

1. Mwanamke anapaswa kuwa na maisha yake na sio maisha ya kuiga. Wapo wanawake ambao hupenda kuiga kile kinachofanywa na wanawake wenzake na kudhani hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa. mwanamke mwenye tabia...

View Article

NEW VIDEO:SALU B NIKIMWELEZA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ABURUZWA NYUMA YA PIKIPIKI NA BABA YAKE KISA HAJAENDA SHULE.

Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA MSICHANA ALIYEONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013.

Tovuti ya Times Fm imefanya mahojiano ‘exclusively’ na Robina Nicholaus, msichana aliyeshika nafasi ya kwanza/ aliyeongoza kitaifa (Tanzania One) kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAWALIPUA BONGO MOVIES WASEMA NI OMBA OMBA BALAA.

SKENDO nzito ya Bongo Muvi imeibuliwa na baadhi ya wabunge waliopo mjini Dodoma kufuatia kuwalipua wasanii wake kuwa, ni ombaomba balaa, Risasi Jumamosi lina mkanda mzima.Kwa mujibu wa wabunge hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU"NAPENDA WANAUME WEUSI NA NI KWELI NIPO NA DIAMOND"

Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkasa wa Ostaz Juma na PNC, somo kwa Ostaz na wengine kuhusu nguvu ya...

Moja kati ya matukio makubwa yaliyoteka ‘attention’ ya watu wengi ni picha na video zilizowekwa kwenye ukurasa wa Facebook na boss wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma zikimuonesha mwimbaji toka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Samuel Eto'o alichukizwa na kejeli ya Mourinho kuhusu umri wake, amjibu kwa...

Mshambuliaji wa Chelese, Samuel Eto’o amechukizwa na kauli iliyotolewa na kocha wake Jose Mounrinho, kauli iliyoonekana kukeje umri wa mshambuliaji huyo kuwa sehemu ya kikwazo cha timu yake kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aunt Ezekiel aeleza kilichomsukuma kufanya Bongo Flava.

Msanii wa filamu za Kiswahili, Aunt Ezekiel ambaye anatarajia kuachia wimbo wake mpya wa Bongo Flava alioupa jina la ‘Mguu kwa Mguu’ aliomshirikisha Linex Mjeda, ameeleza sababu kubwa iliyomfanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DINI YA AJABU YAIBUKA KIGOMA.HAIRUHUSU WAUMINI KWENDA HOSPITALINI.

Dini mpya iitwayo Matengenezo inayozuia waumini wake kwenda sekondari na hospitali, imeingia wilayani Kakonko mkoani Kigoma.Inakataza waumini wasiende sekondari na hospitali, kwa madai kuwa Biblia...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live