Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umeiskia Hii ya Kiazi Kutumika Kwenye Uzazi wa Mpango!

Kumekuwa na njia mbalimbali za uzazi wa mpango ambazo zinatambulika na kushauriwa kitaalamu, msichana mmoja Colombia amewashangaza madaktari kutokana na njia ambayo ameitumia kwa ajili ya uzazi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwizi Apitiwa na Usingizi Nyumbani Kwa Mtu Alipoenda Kuiba!

Jamaa mmoja amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuingia kwenye nyumba moja kwa lengo la kufanya uhalifu japo hakufanikiwa kukamilisha lengo lililomuingiza kwenye nyumba hiyo.Matthew Waters alikutwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majeneza kutoka China kuingia Marekan Yapingwa Marufuku.

Kwetu TZ kuikuta bidhaa kutoka China kwenye duka lolote sio kitu cha kushangaza kiukweli, kuna radio, simu, TV na bidhaa nyingine nyingi sana ambazo tunazinunua na kutumia ambazo zina maandishi ‘Made...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pete ya kuokota yamtesa huyu Jamaa!

Kijana mmoja kutoka Ghana huenda akakatwa kidole chake baada ya pete aliyoiokota na kuivaa kung’ang’ania kwenye kidole ambacho kimeanza kupuputika huku nyama za kidole hicho zikionekana kulika.Kijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Staa Huyu afuta kurasa yake ya istagram kwa hasira.

Rapa Iggy Azalea amefuta kurasa yake ya Instagram baada ya mashabiki kumsambulia kuhusu kutaka maisha yake yasifuatiliwe.  Iggy Azalea alilalamikia mashabiki wake kuwa hapendi habari zake na mahala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Ndio Adhabu Waliopewa Hawa Jamaa Baada Ya Kutemeana Mate Uwanjani!

Pamoja na kukataa kwamba hakumtemea mate mshambuliaji wa New Castle Papis Cisse, beki wa Man United, Jonny Evans amefungiwa mechi sita na  Shirikisho la soka England FA.Naye Papis Cisse amefungiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege inayotumia nguvu ya jua kuingia kwenye rekodi mpya Duniani

Duniani kote wataalamu wanaangalia namna ya kubuni teknolojia itakayosaidia kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa, mpshi wa viwanda, magari vinatajwa kama vyanzo vya tatizo la mabadiliko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbwa kwenye utafiti kugundua Ugonjwa wa Cancer.

Watafiti wamekuwa wakigundua baadhi ya viumbe kutumika sehemu mbalimbali, tumeona panya wanaotegua mabomu, Watafiti wa magonjwa ya Cancer Uingereza wanasema kuwa mbwa ana kitu cha ziada muhimu kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH Temba Ndani Ya PAPASO,Afunguka Mengi.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Ndio Hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Ivory Coast kwa mke wa aliyekuwa...

Mara nyingi watu huwa wanalalamika, wanasema viongozi na watu wenye pesa hata wakifanya makosa hawafungwi, lakini ikitokea mtu wa kawaida kafanya kosa lolote anahukumiwa kifungo, hapo ndio ambapo watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ndio Tuzo ya heshima kwa staa huyu wa soka baada ya kukemea ubaguzi wa...

Ishu ya ubaguzi wa rangi kwa nchi za wenzetu bado imeendelea kuonekana kuchukua nafasi, hata katika soka matukio ya ubaguzi kwa baadhi ya wanasoka ambao ni weusi imeendelea kuchukua headlines.Tukio la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Boko Haram Waendelea Kuwateka watoto!

Kundi la Boko haram limeendelea kuwa gunzo si tu nchini Nigeria ambapo wameweka kambi bali katika nchi mbalimbali duniani kutokana na kuendelea kuua watu mara kwa mara.Taarifa ya kuokolewa kwa watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali mbaya ya lori na basi yaua wengi Mafinga, abiria wapondwa na kontena

Ajali mbaya imetokea Jumatano hii maeneo ya Mafinga mkoani Iringa katika kijiji cha Changarawe baada ya lori la mizigo lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya lililokuwa likikwepa shimo kubwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chaz Baba Asifiwa na Wema Sepetu kuwa ndiye aliyekuwa mwanaume halisi.

Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.Wema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zingatia Sana Haya Mambo Matano Unapokuwa Kwenye Usaili wanye Ushindani!

Kwenye nafasi nyingi za kazi siku hizi tunakutana na vitu na mambo mengi. Kazi nyingi zinatangazwa kisiasa lakini zinakuwa na watu tayari. Lakini hapa nataka kuzungumzia kazi ambazo bado hazina mikono...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majina ya Abiria Wote Waliokuwa Katika Ajali iliyouwa Watu Iiringa Jana Yako...

"Ni ajali ambayo haijawahi kutokea katika maeneo haya," ni baadhi ya maneno yaliyosikika kutoka kwa wakazi wengi wa mjini Mafinga na vitongoji vyake, ambao jana walishuhudia ajali  katika historia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Twitter yapitisha utaratibu huu mpya kwa watumiaji wake.

Kasi ya matumizi ya mitandao ya kijamii imeendelea kukua kwa kasi kila siku na kupelekea kuongezeka kwa idadi kubwa ya watumiaji wa mitandao hiyo.Mtandao wa Twitter umebadili sheria zake katika kuzuia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Harusi Yavunjika baada ya Bwana Harusi Kuchemka Hesabu ndogo tu aliyoulizwa...

Kuna taarifa ambayo imepewa headlines, hii inahusu harusi moja kushindwa kufanyika India kisa ni kitendo cha bwana harusi kufeli swali la hesabu ya kawaida kabisa aliloulizwa na bibi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Amwagiwa Maji ya Moto na Mke wake Kisa Kipo Hapa! Daah Inatia Huruma...

Ken Gregory anaishi Peterborough, Uingereza alikuwa akiishi na mke wake Teresa Gilbertso, lakini huyu alikuwa mke wa pili baada ya mke wake wa kwanza kufariki, ambaye alikuwa anaitwa Maureen.Uamuzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe ameamua kuwaaga rasmi wana Kigoma Kaskazini.

Wakazi wa Kigoma Kaskazini leo walikusanyika pamoja kumsikiliza Mbunge wao Zitto Kabwe ambaye siku ya leo ameamua kuitumia rasmi kama kuwaaga wananchi  na wapiga kura wa jimbo lake.Zitto Kabwe ambaye...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live