Taarifa mpya kuhusu bondia Francis Cheka iko hapa…
Unakumbuka ile skendo iliyompata bondia wa ngumi nchini Francis Cheka baada ya kumpiga na kumuumiza meneja wa baa yake akimtuhumu kusababisha hasara?Taarifa iliyotolewa na kocha wake Abdalah Komando na...
View ArticleKutana na Raisi Aliyeishangaza Ulimwengu baada ya kuomba Apunguziwe Muda Wa...
Tuliona machafuko ya Burkina Faso ambayo yalitokana na ishu ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Blaise Compaoré kutaka kulishawishi Bunge ili limuongezee muda wa kukaa madarakani, iko ishu ya Congo DRC pia...
View ArticleHii Ya Nyama Ya Punda Kuwa Dili ni Kali Ya Mwaka!
Huenda utofauti wa tamaduni na mazoea ya watu inafanya baadhi ya vitu pia kutofautiana.. zipo story za watu kula mbwa na wanyama wengine, huku kwetu sio kawaida.Kumbe China kuna soko la nyama ya punda?...
View ArticleMatonya Atupwa Jela Miaka 30 Baada Ya Kumbaka Mwanafunzi!
Mfanyakazi wa ndani, Joseph Matonya (26) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwanagati...
View ArticleHii Story Ya Nay Na Mpenzi Wake Inahuzunisha Sana!
Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay wa Mitego alikuwa wa kwanza kuweka post kwenye ukurasa wake Instagram.. aliandika kwamba Curtis ambaye ni mtoto waNay sio mtoto wa msanii huyo ila baba yake...
View ArticleAlishindwa kuvumilia kumuona mumewe akimsaliti, kilichofuatia ni story..
Story ilianza pale ambapo mwanaume aliulizwa na mkewe kama ni kweli ana uhusiano na mwanamke mwingine nje.. mwanaume huyo akakataa, akadai eti ni story za uongo ambazo watu wamezusha.Emily Nyondo ndio...
View ArticleOna Alichokifanya Huyu Jamaa Baaada Ya Mpz wake Kufariki Nyumbani Kwake!
Tukio moja lilimeibua hisia kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Isyongo kaunti ya nyamira nchini Kenya, baada ya Polisi kufukua maiti ya msichana mmoja Feidhi Omega 21, iliyokuwa imezikwa chini ya uvungu wa...
View ArticleHii Ndio Ukweli Kuhusu Huyu Msanii wa Origino Komedi!
Kumekuwa na story ambayo imeenea sana mitandao ya kijamii na pia watu wamekuwa wakitumiana PICHA Whatsapp na wengine wameweka pia kwenye kurasa za Instagram na kuandika #RIP picha ya mchekeshaji wa...
View ArticleHii Ndio Sababu Iliyopelekea huyu Dada Kufanya Kazi Katika Chumba Cha...
Kifo ni njia ya kila mmoja lakini watu wengi huogopa mtu aliekufa kutokana na hilo utakubaliana na mimi kuwa kunahitajika ujasiri wa aina yake kwa mtu kufanya kazi ambayo itamfanya kukutana na watu...
View ArticleKilimanjaro Tanzania Music Awards 2015 Iko Hapa!
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushirikiana na Kilimanjaro Premium Lager wamezindua rasmi msimu mwingine wa tuzo za muziki Tanzania unaojulikana kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards...
View ArticleKutana Na Simu Ya Ajabu Iliyotengenezwa Kwa Majani!
Teknolojia inatufungulia mapya kila siku.. Nakumbuka simu za kwanza za mkononi zilikuwa kubwa halafu nzito, baadae ikaja fashion ya simu ndogo ndogo, zile kubwa watu wakawa wanaziita ‘mshindi’ ambalo...
View ArticleBondia Mohamed Matumla Ashinda Pambano la Ngumi Dhidi ya Mchina Wang Xin Hua...
Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika...
View Article