Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Bondia Mohamed Matumla Ashinda Pambano la Ngumi Dhidi ya Mchina Wang Xin Hua Jana

$
0
0

Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam jana Usiku.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles