Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Zitto Kabwe ameamua kuwaaga rasmi wana Kigoma Kaskazini.

$
0
0
4mwndgWakazi wa Kigoma Kaskazini leo walikusanyika pamoja kumsikiliza Mbunge wao Zitto Kabwe ambaye siku ya leo ameamua kuitumia rasmi kama kuwaaga wananchi  na wapiga kura wa jimbo lake.
Zitto Kabwe ambaye ijumaa ya wiki hii kupitia mtandao wa kijamii kwenye akaunti yake ya Twitter ali break news kwamba hatogombea tena Ubunge kwenye uchaguzi ujao wa mwishoni mwa mwaka huu.
twitter
Baada ya hotuba yake kumalizika, millardayo.com ilifanikiwa kuongea na baadhi ya wananchi ambao kwa asilimia kubwa walionekana kutoridhishwa na uamuzi huo wa Mbunge wao Zitto Kabwe wa kutogombea tena ubunge.
Nna hizi ni baadhi ya picha mtu wangu kutoka Kigoma.
1mwndg
7mwndg
6mwndg
5mwndg
2mwndg
3mwndg
Chanzo:Millardayo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles