HAYA NDIO MAMBO 10 YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA SIKU ZOTE.
1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWASANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE MFUPI KUONYESHAÂ UNAMJALI.2. MSIKILIZE KWA MAKINI WAKATI AONGEAPO.3. CHUNGUZA KWA MAKINI VITU ANAVYOPENDA NA...
View ArticleMKE WA KIGOGO AFIA GESTI.
 Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Juliet Gaison Komba (37), mkazi wa Mbagala Kuu, Temeke, Dar hivi karibuni amekutwa na mauti akiwa Gesti ya Kigoma, Mbagala Charambe, Dar.Waombolezaji wakilia kwa...
View ArticleNDEGE AGEUKA MWANAMKE.HAYA KWELI MAAJABU.PICHA ZAIDI ZIKO HAPA.
Mapema hii leo katika kijiji kimoja kinachotambulika kama OSHINDI nchini Nigeria wanachi walishuhudia sinema ambapo kamera zao zilikuwa macho yao na simu zao pale ndege aliyekuwa anapaa angani ghafla...
View ArticleMWANAFUNZI AKUTWA LIVE AKIFANYA MAPENZI NA NG'OMBE MCHANA KWEUPEEE!!
Habari na Ezekiel Kamanga, KyelaMwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Ikolo, Wilaya ya Kyela Bakiro Hance (18), amekutwa akifanya mapenzi na ng’ombe wa jirani yake.Tukio hilo...
View ArticleBomu lililolipuka Cairo lasababisha maafa.
Bomu lililotengenezwa kienyeji huko Cairo, Misri limelipuka karibu na mahakama kuu siku ya Jumanne tarehe 14 mwaka huu na kujeruhi watu 12 ambapo gari na maduka yaliliyokuwa karibu ya eneo hilo la...
View ArticleUmeona daraja la Kigamboni lilipofikia? picha zake 12 mpya ziko hapa.
Daraja jipya la kutuvusha kati ya Kigamboni na upande wa pili wa Dar es salaam linaendelea kujengwa juu ya bahari katika Bahari ya Hindi eneo la Kurasini Dar es Salaam. .Mama mmoja ambae anafanya...
View ArticleLiberia yaelemewa mapambano dhidi ya Ebola
Wakati ulimwengu ukikabiliwa na changamoto ya kukabiliana na janga la ugonjwa wa Ebola, nchi ya Liberia ambayo imeathiriwa zaidi na ugonjwa huo imetangaza kukabiliwa na upungufu wa mifuko maalum ya...
View ArticleBaada ya Miss TZ 2014 kuandamwa mitandaoni, Miss TZ wa 2013 ameamua...
Kama na wewe unakerwa au haupendi jinsi ambavyo Miss Tanzania wa 2014 Sitti Mtemvu amekua akiandamwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu umri wake na elimu yake baada ya kushinda taji hilo weekend...
View ArticleNi staa gani wa bongofleva kaamua kuweka jina badala ya namba kwenye gari...
Ni wiki zinahesabika toka staa wa bongofleva Nay wa Mitego apate namba mpya ya gari lake inayoendana na ile ambayo amekua akiitaja kwenye nyimbo zake na kwenye page zake za mitandao ya kijamii....
View ArticleKumbe hii ndio aina ya magari anayoipenda Fid Q?
Rapa staa wa Hip Hop Fid Q, leo saa tatu asubuhi ameuliza swali kwa shabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram (@FidQ) na Twitter kuhusu aina ya gari ambalo shabiki wake angependelea zaidi Fid Q...
View ArticleStori 9 hot za Magazeti ya leo October17
MTANZANIAMume na mke  wamejilipua namafuta ya Petrol Mkoani Mtwara baada ya kutokea kwa ugomvi baina yao wakati wa usiku.Kamanda wa Polisi alisema vifo hivyo vilitokana na ugomvi wa kifamilia ambapo...
View ArticleUtata Wazidi Kutanda Umri Na Uhalali Wa Miss Tanzania 2014.
Baada ya kuonekana kuwa mrembo wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, amedanga kuhusu umri wake halali aliotakiwa kutaja ili Kamati ya mashindano ya Miss Tanzania iweze kumruhusu kushiriki...
View ArticleHIKI NDO KILICHOANDIKWA NA WEBSITE YA GHAFLA KENYA KUHUSU BIFU LA DIAMOND NA...
Habari hii imeandikwa na website ya Ghafla ya Kenya kuhusu bifu la wasanii Diamond na Ali Kiba wameelezea mengi na wamelitoa kama somo kwa wasanii wa Kenya. Hiki ndo walichoandika :Kenya is so full of...
View ArticleWasichana 200 waliotekwa na Boko Haram watarajiwa kuachiwa huru.
Serikali ya Nigeria imesema wamefikia makubaliano ya kusitisha mapambano na kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram, ambapo katika taarifa rasmi iliyotolewa kuhusiana na makubaliano hayo imesema kuwa...
View ArticlePolisi yaua mlipuaji wa mabomu Arusha.
Tumekuwa tukipata taarifa zinazohusu matukio ya mauaji ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara nchini Tanzania, hali ambayo imeonekana kukithiri katika siku za usoni huku jeshi la polisi likitoa...
View ArticleHawa Ndio washiriki waliotupwa nje Big Brother.
Aliyekuwa mwakilishi wa kutoka Kenya ndani ya jumba la Big Brother nchini Afrika Kusini, Sabina ametolewa katika jumba hilo.Taarifa zilizowekwa katika ukurasa wa mtandao wa Standard Digital ya nchini...
View ArticleSentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye...
October 18 ilikua ni siku maalum ya Wakazi wa Dar es salaam kula bata kwenye msimu wa mafanikio ambao unapita mara moja kila mwaka kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania.Ilikua ni good time ya ukweli sana...
View ArticleWATU HAWA WAMEPONA EBOLA,TAARIFA ZAIDI ZIKO HAPA.
Taarifa kuhusiana na Ebola zimekuwa zikichukua headlines kila siku katika vyombo mbali mbali vya habari duniani, tangu uliporipotiwa kulipuka huko Afrika Magharibi.Mlipuko wa Ebola umeelezewa...
View ArticleHAYA KWELI MAAJABU.MTI ULIODONDOKA MIAKA MITATU ILIYOPITA IMESIMAMA TENA...
Wananchi wa kijiji cha Mfuto katika Kata ya Ufulumo huko Wilayani Uyui, Tabora wamepatwa na mshituko na kuingiwa na hofu baada ya mti aina ya msufi, uliong'oka na kuanguka miaka mitatu iliyopita,...
View ArticleHUYU NDIO MSANII WA KIZAZI KIPYA ALIYEAGA DUNIA USIKU WA JANA.
Aliyekuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, YP ambaye amefariki usiku wa jana katika hospitali ya Temeke wakati alipokuwa akitibiwa maradhi ya kifua kikuu (TB) anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho katika...
View Article