Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Kweli Majanga kwa Hawa Askari Wa Kikosi Cha Usalama Barabarani.

Kamanda a Polisi Mkoani Kagera Henery Mwaibambe ameeleza waandishi wa habari muda mfupi uliopita kuwa, askari hao na mwenzao aliyewapiga picha wametambuliwa na tayari wamefukuzwa kazi.Kwamba walikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benin Watua Dar es salaam Tayari Kwa Mpambano Dhidi Ya Stars.

Kikosi cha wachezaji 18 na viongozi 11 wa timu ya Taifa ya Benin, kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa mchezo ya Kalenda ya FIFA dhidi ya Taifa Stars utakayochezwa Jumapili kwenye  Uwanja wa Taifa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata La Ubaguzi Wa Rangi, Uingereza Yaendelea Kukaliwa Kooni.

Mkuu wa kitengo cha kukabiliana na ubaguzi wa rangi katika shirikisho la soka duniani FIFA amesema kuwa ubaguzi wa rangi katika soka ya Uingereza unafanyika hadharani.Jeffrey Webb amesema kuwa ubaguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE MNENE WA AJABU DUNIANI MWENYE UWEZO WA KUFANYA MAPENZI MARA SABA KWA...

You have to admire Pauline Potter’s sheer will and determination. First, she set out to set the Guinness World Record for fattest female on the planet, which she achieved by reaching a weight of 700...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA MARAISI MATAJIRI ZAIDI AFRIKA.UHURU KENYATA WA KENYA NI WA NNE KWA...

1. Rais Equardo Jose Dos. Anashika nafasi ya juu kwa marais wa Afrika kwa kuwa na utajiri wadola bilioni 20. 2.Mohamed VII. Rais wa Morocco anamiliki utajiri wa dola bilioni 2.5 za Kimarekani....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TANZANIA 2014 HUYU HAPA.

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi.MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 7 za ajali aliyoipata msanii Baba Levo, kuna wengine wamefariki.

Mchana wa saa tisa October 10 2014 Baba Levo ambae ni msanii wa bongofleva aliipigia simu millardayo.com na kutoa taarifa za ajali aliyoipata saa saba mchana akitokea Tabora kuelekea Mpanda ambako...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Museven amekataa watu kusalimiana.

October 9 2014 nchi ya Uganda iliazimisha uhuru wake huku rais wake Yower Museven akizungumza mambo muhimu matatu kwa wananchi wake ambapo ishu ya kwanza ni kuwataka wananchi wake kuwa makini kutokana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uliwahi kusikia kuhusu huyu mtu aliyewaua Wanawake mbalimbali kwa risasi Arusha?

Uliwahi kusikia zile stori za Arusha kwamba Wanawake wanauwawa hovyo kwa risasi wakiwa kwenye magari yao nje ya mageti ya nyumba na sehemu nyingine? uliwahi kusikia kuhusu wanaotuhumiwa kuhusika na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI MWINGINE HUYU NAE INAONEKANA HATAKI TENA KIBARUA.TAZAMA ALIVYOLEWA...

Picha ya askari mwingine inayomuonesha akiwa kazini huku akiwa yupo viroba vya kutosha yani kalewa sana kiasi ya kwamba hapo network imekata kabisa. , Picha hii imezambaa kwenye mitandao na bado...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama picha za Huddah Monroe anazotumia kufanya promo ya mavazi yake.

Binti aliyewakilisha Kenya kwenye Big Brother Afrika yupo kwenye mchakato wa kutangaza nguo zake na hapa anaonekana na top ya njano iliyoandikwa Huddah.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WOLPER AFATA NYAYO ZA WEMA, SASA AAMUA KUNYOA NYWELE.

Wolper katika pozi.Kwa wale wenzangu na mimi ambao mpo Instagram mtakubaliana na mimi kua Jackline Wolper ni mmoja kati ya wasanii wachache wa kike wanaoongoza kwa kupiga pamba. Baada ya watu kumzoea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na kijana anaekunywa damu kabla ya kazi

Kijana wa miaka kumi na 19 anayeitwa Jamal Nasiru kutoka Nigeria amekamatwa na chombo cha dola kinachohusika na kudhibiti ukabaji (SARS) baada ya kukiri kunywa damu ya ng’ombe kabla ya kufanya kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uliwahi kuipata hii kuhusu kufungwa kwa magereza nchini Nertherlands?

Unaambiwa mwaka 2009 nchi ya Netherlands iliamua kufunga magereza yake tisa kutokana na upungufu wa uhalifu nchini humo ambapo mpaka mwaka 2013 jumla yamagereza 19 yalifungwa kutokana na kuzidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA DUNIA,ALALA NA SIMBA KITANDA KIMOJA.

Kwenye nyumba tunazoishi mara nyingi tumekua tukifuga na kuishi na Paka au Mbwa kitu ambacho ni kawaida na ni nadra sana kukutana na mtu anaeishi na au kufuga viumbe ambavyo ni hatari kwa maisha ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ayt aanza kushoot video mbili huko Marekani.

.Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.Good News ni kwamba sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUTAKUKUMBUKA DAIMA BABA WA TAIFA MWL JK NYERERE.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Mwalimu Nyerere alifariki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EBOLA SASA NI TISHIO,SOMA HAPA!!

Mfanyakazi wa Umoja wa mataifa aliesafirishwa mpaka Ujerumani akitokea Liberia wiki iliyopita baada ya kupatwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola, amefariki dunia kwenye hospitali ya St. Georg...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mmiliki wa Facebook amenunua huu upande wa kisiwa cha Hawaii.

Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai ambayo ni hekari 700 kwa dola za Kimarekani milioni 100 ambapo atakuwa anamiliki eneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke Huyu Amekufa uwanja wa ndege Kenya kwa tetesi za Ebola.

Kila mmoja amekua na hofu akisikia au kukutana na mtu alietoka kwenye nchi zilizoathirika na ugonjwa wa Ebola barani Afrika na ndio maana ubaguzi umeripotiwa katika nchi mbalimbali za Amerika, Ulaya na...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live