Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA FILAMU ZA BONGO AFARIKI DUNIA.

Ni masaa machache tu yamepita tangu muziki wa kizazi kipya Tanzania, Bongo Fleva kumpoteza aliyekuwa staa wa muziki huo kutoka kundi la TMK Wanaume Family, aliyekuwa akifahamika kwa jina la YP, taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unamfahamu mmiliki wa kituo cha redio aliyefungwa? Picha na habari viko hapa.

Mahakama ya Somalia imetoa amri ya kuzuiwa kwa pasipoti ya mmiliki wa kituo maarufu cha redio nchini humo, ambaye anakabiliwa na shtaka la kuhatarisha usalama wa nchi hiyo.BBC inaripoti kuwa Abdimalik...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ali Kiba amewataja Wasanii waliomfurahisha kwenye stage ya Fiesta Leaders.

Ni week ambayo imefatana na weekend iliyoacha kumbukumbu nzuri kwa watu mbalimbali waliohudhuria tamasha la Fiesta ambalo mwaka huu limechukua headlines za rekodi kubwa ya mahudhurio karibu kila sehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Filamu ya maisha ya Aaliyah kufichua undani wa uhusiano wake na R.Kelly.

Baada ya pilikapilika na ukosoaji wa hali ya juu kuhusu uandaaji wa filamu ya maisha ya Aaliyah, hatimaye mambo yameiva na kilichobaki ni kuipakua.Mtayarishaji wa filamu hiyo, Wendy Williams ameweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIKI NDO ALICHOKISEMA SAID FELLA KUHUSU KIFO CHA MSANII YP WA TMK WANAUME...

Ni leo asubuhi ndipo taarifa za msiba wa aliyekua msanii wa TMK Wanaume Family aliyekua akijulikana kama YP. Kwa mujibu wa maelezo aliyetoa Said Fella ambaye ndio kiongozi wa wanaume Family ni kua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LAANZA KUMCHUNGUZA DIAMOND BAADA YA KUPANDA STEJINI NA NGUO ZA JESHI.

Kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo limeandika habari inayodai kuwa msanii Diamond Platnumz anachunguzwa Na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ Kwa madai kuwa eti alitumbuiza Na magwanda ya jeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umesikia kuhusiana na chanjo ya Ebola? Habari yote iko hapa.

Shirika la afya duniani, WHO limearifu kuwa liko mbioni kufanya majaribio ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola, ambao umeripotiwa kuua takribani watu 4,500 huku nchi za Afrika Magharibi zikiripotiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nicki Minaj na boyfriend wake wamwagana? Boyfriend wake afunika tattoo ya Nicki.

Wanasema dalili ya mvua ni mawingu, hivi ndivyo inavyoonekana katika uhusiano wa Nicki Minaj na mpenzi wake Safaree Sam ambaye alikuwa amejichora tattoo yenye picha ya Nicki na jina lake pia.Wiki hii,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ampiga mawe binti yake hadi kufa kwa kosa la kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

Mfuasi mmoja wa kundi la ISIS la Syria ameungana na wanajeshi kadhaa wa kundi hilo kufanya mauaji ya kinyama kwa kumpiga mawe binti yake wa kumzaa hadi kufa baada ya kugundulika kuwa alizini.Kundi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGONJWA MWINGINE AMEPONA EBOLA.SOMA ZAIDI HAPA.

Idadi ya watu wanaoendelea kutajwa kupata tiba ya Ebola, imezidi kuongezeka,leo pia shirika la utangazaji Sky News wameripoti kuhusiana na mtu mwingine aliyepona Ebola.Ashoka Mukpo (33), mpiga picha wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

T.I kufika Marekani si akakutana na mwandishi aliemuuliza kuhusu Ebola...

Alikua mgeni kwenye stage ya Tamasha la Fiesta lililofanyika Leaders club October 18 2014 akiwa na timu yake ya watu wasiopungua watano na kuisimamia hiyo show kwa zaidi ya dakika 60.Baada ya show...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umesikia stori ya ngamia aliyeua kwa kukosa soda?

Richard Mileski (60), aliyekuwa mmiliki wa hifadhi ya wanyama pori nchini Mexico ameuawa kikatili na ngamia aliyekuwa akimfuga katika hifadhi hiyo kutokana na kutompatia ngamia huyo ‘dozi’ ya soda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hivi ndivyo ndugu yetu YP alivyozikwa.

Aliyekuwa staa wa muziki kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambilikile Mwakalekamo aka YP ameagwa jioni ya leo katika viwanja vya TCC Chan’gombe na kuzikwa makaburi ya Chang’ombe Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii imetokea Kenya tazama mtu anavyozikwa amekaa.

Kuna taarifa ambazo kama ukibahatika zikakufikia, zinaweza kukuacha kinywa wazi ama kukushtua kwa namna fulani.Stori ambayo nimeipata hivi punde kutoka 254 Kenya inahusiana na mazishi ya aina yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Makamba atangaza kumnadi January urais 2015.

   Mbio za urais ndani ya CCM zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba kutangaza rasmi kumuunga mkono mtoto wake, January Makamba.Akizungumza katika mahojiano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapambano mengine ya Marekani dhidi ya Ebola.

Licha ya kwamba Marekani imekuwa nchi ambayo imeweka rekodi ya kutibu watu wenye maambukizi ya ugonjwa huku wachache wakiripotiwa kufariki, bado imetangaza mkakati madhubuti ambao umewekwa ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pistons yamtema Hasheem Thabeet Wa Tanzania.

Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa imemchukua kutoka Oklahoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

'Taulo Kenya zina ukimwi',asema mhubiri.

 Kituo kimoja cha televisheni nchini Marekani kinachorusha kila siku kipindi cha mhubiri Pat Robertson kiliomba radhi Jumatatu kwa madai yake potofu kwamba wasafiri wanaokwenda Kenya wanaweza kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'Busu' lamtia mashakani Obama.

Rais wa Marekani, Barack Obama, ametoa kauli yake kuhusu mwanamume aliyeshikwa na wivu baada ya yeye kumbusu mpenzi wake kwenye mashavu."rais tafadhali usimguse mpenzi wangu," alisema mwanamume,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo October 23 2014 Udaku, Michezo na Hardnews.

Leo kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali.Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo...................................

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live