HAYA NDIO MAJANGA YALIYOMKUTA MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ.
Kufuatia tukio la Diamond Platinumz kuonekana akiperform na sare zinazoaminika kuwa za jeshi la Wananchi (JWTZ), imeelezwa kuwa jeshi la Polisi limemshikilia meneja wa Diamond, Babu Tale na...
View ArticleWema Sepetu Aponda Raha China Huku Diamond Akiugulia Machungu ya Fiesta.
WAKATI bebi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiuguliamaumivu ya kuzomewa na mamia ya mashabiki wa muziki katikaTamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiendi iliyopita,Wema Sepetu...
View ArticleMAHABA NIUE YAMFICHA SNURA.
MAHABAT! Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na kutumikia penzi lake kwa mahaba motomoto.Staa wa Bongo Fleva, Snura...
View ArticleNISHA: SIJAFULIA JAMANI.
BAADA ya saluni yake iliyopo Sinza jijini Dar kufungwa huku uvumi wa kudaiwa kufulia ukimuandama, msanii wa filamu, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa uvumi huo hauna ukweli.Msanii wa filamu Bongo,...
View ArticleMsanii Maarufu Tanzania Linah Azinguana Na Mchumba Wake, Ni Kuhusu Ishu...
Udaku matata Kabisa, Staa wa Bongo Fleva, mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Estelina Sanga ‘Linah’ na mchumba’ke, Nangari Kombo wanadaiwa kutibuana, kisa kikidaiwa ni maneno ya wanafiki yasiyokuwa...
View ArticleFLORA NA MUMEWE H-BABA WAMFUNIKA WEMA KWA MJENGO, WADAI "HATUSHINDANI"
Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa.Mjengo wa wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki...
View ArticleSHILOLE AFUNGUKA LIVE "NUH NI MKUBWA NA ANAJUA UTAM WA MWANAMKE NDOMANA...
Instagram imekua moja ya mtandao ambao umekua gumzo sana hasa hapa Tanzania. Wasanii wengi wameikimbia Facebook na Twitter na kuhamia Instagram ambako ndipo mara nyingi hutoa updates nyingi kuhusu...
View ArticleD'BANJ NA AKON WAFANYA COLLABO MBILI..AKON "MONEY MAKING AFRICANS"
Staa mwingine wa Nigeria D’Banj amethibitisha kuwa amefanya collabo na staa wa Konvict Muzik, Akon. Akon na D’Banj kila mmoja kwenye Instagram yake Jana asubuhi wameshare picha wakiwa pamoja na kutease...
View ArticleMBINU 5 ZA KUMRUDISHA MPENZI WAKO BAADA YA KUMZINGUA!
Katika uhusiano kunaweza kutokea ugomvi ambao ni wa kawaida na ambao hauhitaji nguvu kubwa kuumaliza lakini upo ule ambao ukitokea ni lazima nguvu ya ziada itumike ili kuweza kurudi katika mazingira ya...
View ArticleONA ALICHOSEMA CHEGE CHIGUNDA JUU YA KIFO CHA YP.
Saidi Juma maarufu kwa jina la Chege Chigunda Mtoto wa Mama Saidi kutoka TMK ameumizwa sana na Msiba wa mwenzake Yessay Ambilikile Y.P na Kuyasema haya... "Innalilahi wa inna ilaih rajiun,sikuwahi...
View ArticleHUKUMU YA KIFO YATANGAZWA KWA WANAWAKE WANAOJIUZA PAMOJA NA WATEJA WAO.
Katibu wa maendeleo ya jamii katika jiji la Abuja Nigeria, ametangaza ‘kiama’ kwa wanawake wanaofanya ‘biashara ya kujiuza’ pamoja na wateja wao. Taarifa iliyochapishwa na " Today Internet Newspaper...
View ArticleCanada yatoa tamko kuhusiana na shambulio la Bungeni.
Masaa machache baada ya kutokea tukio la shambulizi la risasi katika bunge la Canada lililopelekea mwanajeshi mmoja na askari wa bunge, kuuawa serikali ya Canada imetoa tamko rasmi kuhusiana na tukio...
View ArticleT.I amehojiwa tena Marekani na kuzungumzia mengine mapya kuhusu Tanzania.
Clifford Joseph Harris, Jr. a.k.a T.I mkali kutoka Marekani aliyeangusha show ya nguvu katika jukwaa la Fiesta 2014 siku ya Jumamosi Oktoba 18 2014 katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam, bado...
View ArticleWanafunzi chuo kikuu wapinga sheria inayozuia ‘kupigana mabusu’
Muungano wa wanafunzi umelaani sheria mpya iliyopitishwa na uongozi wa chuo kikuu cha Zimbabwe ambayo inapiga marufuku wanafunzi hao ‘kupigana mabusu’.Taarifa iliyoandikwa na shirika la utangazaji...
View ArticleAkon Alivyofanya Show Congo Ndani Ya Puto Kuhofia Ebola.
Ilikuepuka maambukizi ya ugonjwa wa Ebola akiwa kwenye tamasha kubwa la amani Congo, msanii Akon kutoka Marekani amefanya show ndani ya Puto gumu la plastic huko Goma.Kauli mbio ya show hio ilikuwa...
View ArticleMISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU KUVULIWA TAJI NA BASATA.
Sakata la umri la Miss Tanzania 2014 Sitti Mtevu limeendelea kuchukua sura mpya baada ya Baraza la Sanaa Taifa (Basata) kudai kuwa litamvua taji hilo endapo watagundua kasoro za umri...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda atangaza rasmi kuwania urais 2015.
Alitoa uthibitisho huo juzi akiwa London, Uingereza ambako yuko katika shughuli za kikazi. Hatua hiyo inaondoa uvumi ambao umekuwapo kwa takriban miezi mitatu sasa kwamba naye tayari ameingia katika...
View ArticleHuyu ndiye mgonjwa wa kwanza kuumwa Ebola kwenye nchi hii.
Serikali ya Mali imethibitisha kuhusiana na taarifa za mtoto wa miaka 2 kukutwa na maambukizi ya Ebola akiwa ni mtu wa kwanza kupata maambukizi ya ugonjwa huo nchini humo tangu ugonjwa huo ulipozuka...
View ArticleBoko Haram yateka wanawake wengine.
Taarifa iliyoripotiwa na shirika la utangazaji Uingereza BBC imesema kikundi cha wapiganaji cha Boko Haram kimefanya mashambulizi katika kijiji cha Adamawa kilichopo Kaskazini Magharibi ya Nigeria na...
View Article