Ilikuepuka maambukizi ya ugonjwa wa Ebola akiwa kwenye tamasha kubwa la amani Congo, msanii Akon kutoka Marekani amefanya show ndani ya Puto gumu la plastic huko Goma.
Kauli mbio ya show hio ilikuwa Umoja ila alichofanya Akon kilikowa tofauti kwani alionekana kujihadhari sana na kuguswa na mtu yeyote kutoka nchi hio akiamini kuna ugonjwa wa Ebola kila kona ya Africa.