Hawa ndio wanafunzi wanaofanya mitihani ya Sekondari wakiwa na mimba.
Afisa elimu katika kaunti ya Bungoma Kenya, ametoa taarifa kuhusiana na wanafunzi 53 wanaofanya mitihani wa kumaliza elimu ya sekondari iliyoanza siku ya Jumanne wiki hii, ni wajawazito.taarifa...
View ArticleNi wasanii gani wa bongo walimshtua Davido kwa shangwe kwenye Fiesta Dsm?JIBU...
Unaambiwa weekend iliyopita kwenye Fiesta ya Dar es salaam mwimbaji Davido wa Nigeria alitumia dakika zake zote kutazama screen zilizokua zimewekwa nyuma ya stage ya Fiesta baada ya kusikia shangwe...
View ArticleHii ya noti ya shilingi elfu moja Tanzania umeipata?Soma Zaidi Hapa.
Kumbukumbu zako ziko sawa kuhusu yale malalamiko ya kukosewa kwa picha ya baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere kwenye noti ya shilingi elfu moja? basi kama hazipo sawa, ichukue hiyo.Baada ya hayo...
View ArticleWEMA AZUA KIZAAZAA CHINA NI KATIKA KUONYESHA UPENDO NA HURUMA KWA JACK CLIFF.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye...
View ArticleDiamond Platnumz’ kufungwa miaka mitatu gerezani.
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby...
View ArticleCHIDI BENZ AKAMATWA AIRPORT NA DAWA ZA KULEVYA.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chidi Benz amekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akiwa anaelekea Mbeya kwenye show ya Instagram Party...
View ArticleUpasuaji wa maumbile wapelekea mwanamke kufariki.
Mwanamke mmoja amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbile.Mwanamke huyo raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 24 amefariki nchini Thailand alikokwenda kufanyiwa upasuaji huo, ambapo...
View ArticlePolisi wamezungumza kuhusu Chidi Benz kukamatwa Airport leo na dawa za kulevya
Kuna taarifa zilitoka leo jioni kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akiwa anaelekea...
View ArticleMGOMBEA 2015 ANASWA NA DENTI GESTI.
Mwanaume mmoja anayesemekana ni mfanyabiashara ambaye pia anatajwa kugombea udiwani wa kata moja iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, aliyetajwa kwa jina moja la mzee Beno amenaswa akiwa chumba...
View ArticleHAWA WASANII WA KIZAZI KIPYA WASHINDANA KUVAA NUSU UCHI.
Stori: Musa MatejaKatika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana kwa kupozi kihasara mbele ya kamera.Staa...
View ArticleUmeiskia Hii Kutoka Kwa Beyonce Eti Uzuri wa nje huwa unachuja.Soma Zaidi Hapa.
Mwanamuziki Beyonce anafahamika kwa umahiri wake wa kuteka vyombo vya vya habari wakati mwingine bila hata kufungua kinywa chake. Ndoa yake, ujauzito wake na kuachia albamu kimyakimya ni mambo ambayo...
View ArticleRais Kikwete atamani muda wake umalizike.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mfumo wa Tanzania ambako Rais anatumikia nafasi ya uongozi kwa muhula wa miaka mitano na siyo zaidi ya miaka 10 ni...
View ArticleUnafahamu Msanii Davido Kutoka Nigeria Analipwa Kiasi Gani Kwa Show Moja?...
Leo kupitia mtandao wa Twitter manager wa msanii kutoka Nigeria Davido ambaye pia ni kaka yake anayejulikana kwa jina la Chairmanhkn ametoa post inaonyehsa kiasi cha dola nazolipwa msanii davido kwenye...
View ArticleAlichokisema Mtangazaji Salma Jabir Baada ya Kudaiwa Kutoka Kimapenzi na...
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa uliwahi kukutana na picha ya mtangazaji na pia mwongozaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir akimpiga busu mmoja kati ya director wa kipindi...
View ArticleDiamond afunguka kwa mara ya kwanza kile kilichomkuta akiwa polisi, soma hapa…..
Mwanamuziki Nassib Abdul, ‘Diamond Platnumz’ amesalimisha nguo zake za kijeshi kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.Diamond alisema kuwa juzi alipokea wito uliomtaka afike kituoni...
View ArticleHii ndio historia ya mziki ya mareheme YP kutoka TMK Wanaume Family.
Wiki hii hapa tasnia ya bongofleva ilimpoteza msanii maarufu YP pichani ambaye anaunda kundi la TMK Wanaume Family.Msanii huyo ambaye jina lake halisi ni Yessaya Ambikile alifariki usiku wakuamkia...
View ArticleTunda Man afanyiwa mbaya Afrika Kusini.
Show ya Tunda Man nchini Africa kusini jumamosi iliyopita iliharibiwa baada ya mtu mmoja kupuliza pepper spray ama pili pili iliyo katika mfumo wa kupuliza kwenye chupa za Perfume.Kwa mujibu wa Tunda...
View ArticleHaya ndio makosa matatu makubwa Diamond aliyowakosea waTanzania hadi...
1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE…Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa KAWAIDA kama wenzake waliopita ili AFULIE awaachie na wengine...
View ArticleEbola yagundulika New York Marekani.
Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini New York.Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya...
View ArticleWenye vichwa vikubwa wanyanyapaliwa.
Wanawake nchini Tanzania hasa wale ambao bado wapo kwenye umri wa kuzaa wameshauriwa kula vyakula vyenye folic acid zikiwemo mboga za majani na matunda ili kuwaepusha na matatizo ya kuzaa watoto wenye...
View Article