Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

JESHI LAANZA KUMCHUNGUZA DIAMOND BAADA YA KUPANDA STEJINI NA NGUO ZA JESHI.

$
0
0

IMG_20141021_145913

Kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo limeandika habari inayodai kuwa msanii Diamond Platnumz anachunguzwa Na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ Kwa madai kuwa eti alitumbuiza Na magwanda ya jeshi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta
lililofanyika jumamosi iliyopita katika viwanja vya Leaders Club, gazeti hilo limezungumza Na Msemaji Wa Jeshi hill Meja Joseph Masanja ambaye alikiri kuanza Kwa uchunguzi Wa kina Kwa Diamond Chege Na Nay Wa Mitego,

Kambi ya Diamond:
Wao wanadai mavazi yanayofanana na magwanda ya jeshi yaliyovaliwa usiku wa fiesta yana Baraka zote kutoka mamlaka husika.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles