Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Kumbe hii ndio aina ya magari anayoipenda Fid Q?

$
0
0
Fid Q Cars IRapa staa wa Hip Hop Fid Q, leo saa tatu asubuhi ameuliza swali kwa shabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram (@FidQ) na Twitter kuhusu aina ya gari ambalo shabiki wake angependelea zaidi Fid Q alitumie.

Fid Q ameweka picha za magari hayo akiambatanisha na maneno ya kumuomba shabiki wake amchagulie gari moja kati ya hayo.  Tofauti na ilivyo kwa mastaa wengi kupendelea magari ya kisasa na ya kifahari zaidi, aina ya magari yaliyoonekana katika picha aliyoiweka Fid Q ni yale yaliyotengenezwa katikati ya kipindi cha miaka ya 1955- 1963.
Fid Q 2Fancy CarsKazi kwako shabiki wa nguvu, kwa pendekezo lako unadhani rapa Fid Q anastahili gari la mwaka gani kati ya hayo?
Hii ndiyo picha ya aina mbalimbali ya magari anayopendelea Fid Q, ambapo wewe kama shabiki wake wa nguvu una nafasi ya kumchagulie moja ambalo ungependelea alitumie.

CHANZO:Millardayo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles