Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Umeona daraja la Kigamboni lilipofikia? picha zake 12 mpya ziko hapa.

$
0
0
.
Daraja jipya la kutuvusha kati ya Kigamboni na upande wa pili wa Dar es salaam linaendelea kujengwa juu ya bahari katika Bahari ya Hindi eneo la Kurasini Dar es Salaam.

.
.
Mama mmoja ambae anafanya biashara ya kuwauzia chakula Mafundi wa daraja hili amesema amekua akishuhudia ujenzi ukiendelea hata wakati wa usiku pia, yani akiamka asubuhi na kuja kazini anakuta mabadiliko.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Credit:Millardayo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles