Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray C Apigwa Dongo Baya Kwa Jinsi Alivyojichubua Usoni.

Hali si shwari  baada yamtangazaji maarufu nchini kenya Joe Muchiri kuvamia instagram na kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kwa Ray C. Mtangazaji huyu maarufu wa Capital F.M aliandika hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii wa Bongo muvi 6 wa Kike Walivyokua Mwanzo Kabla ya Kuanza Kujichubua.

Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa hawa dada zetu wa kike waliamua kuongeza urembo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Ulikuwa Hujui Unaambiwa Ugomvi ni Afya kwenye Mapenzi..

Kama ulikuwa ukifikiria kuwa ugomvi katika mahusiano ni jambo baya basi umekosea sana! Kama ukikutana na wanandoa wakakuambia hawakuwahi kugombana au kutofautiana katika ndoa yao, ama wanakutania tu au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

My Boyfriend Doesn't Have Money & I Need Money; Can I Dump Him?

I need to know if love can survive without money because in my situation I do not think so. I have a boyfriend that I love and he loves me too but he is broke and really jealous and possessive. We have...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichoandika Micheal Carrick baada ya kutemwa timu ya taifa.

Muda mchache baada ya kocha Roy Hodgson kutangaza kikosi cha timu ya taifa ya England kitakachokwenda Brazil, mchezaji wa klabu ya Manchester United aliyeachwa Micheal Carrick amezungumza kupitia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mechi ya timu ya akina Samata dhidi ya wapinzani wao yasababisha vifo vya...

Maafa makubwa yametokea kwenye soka nchini DR Congo.Angalau watu wapatao 15 ambao ni washabiki wa soka wamepoteza maisha kwenye mchezo wa TP Mazembe dhidi ya ASV Club.Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli ya Ommy Dimpoz baada ya tuhuma za kuvaa viatu vya kike.

Hii stori ilianza baada ya kutoka kwa jarida la Vibe Magazine ambalo lilitoka wiki iliyopita,mbele ya jarida hilo kulikua na picha ya Ommy Dimpoz akiwa kakaa huku miguu akionekana na mavazi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Home » Michezo » Pamoja na kukosa ubingwa Liverpool wazifunika Man City, Man...

Liverpool wanaweza wakawa wamekosa ubingwa wa ligi kuu ya England mbele ya Manchester City, lakini linapokuja suala la nani amekuwa bingwa kwenye msimamo wa timu zilizoingiza fedha nyingi kwenye msimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe amepewa cheo kipya kuziba nafasi.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac) ambapo muda mfupi baadae aliandika kuhusu hicho cheo kipya kwenye page...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hawa ndio wachezaji walioitwa timu ya taifa ya England kombe la dunia.

Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde.Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao:Goalkeepers:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hiki hapa kikosi cha Spain kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wa dunia.

Jana tulishuhudia kikosi cha timu ya taifa ya England kikitangazwa kwa ajili ya kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia huko Brazil, leo hii kocha wa timu ya taifa ya Spain Vicente Del Bosque nae...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni Luis Suarez kwa mara nyingine tena.

Pamoja na kukosa ubingwa wa ligi kuu ya England, inaonekana mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mshambuliaji wa Uruguay anayekipiga kwenye klabu ya Liverpool Luis Suarez.Siku kadhaa zilizopita alitajwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Toka 2003 Anashikilia Rekodi Ya Mwanamke Mwenye Miguu Mirefu Zaidi Duniani.

Kitabu cha rekodi cha Guinness World Records kinasema mwanamke kutoka Urusi aliyeshikilia rekodi ya kuwa na miguu mirefu zaidi bado anashikilia record hii. Svetlana Pankratova anamigu yenye sentimita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUE WATU 10 TANZANIA WANAOTISHA KWA UTAJIRI.

  1. SAID BAKHRESAJina lake kamili ni Said Salim Awadh Bakhresa. Jarida la Forbes mwaka jana, lilimuorodhesha miongoni mwa matajiri 40 Afrika kwamba anamiliki utajiri wenye thamani ya dola milioni 620...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi.

Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaumeKemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Penny With Diamond Again? No Noo noo.

Wajameni nini hiki kinaendelea nimeona hii Picha Kidogo ni Job Hundred ....Eti Penny na Diamond Wakisherehekea Ushindi wa Tuzo Saba...Again!!! it Cant Be

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke Wangu Aliniacha na Kwenda kuishi na Mwanamke Mwenzake Eti sasa anataka...

Inauma sana jamani, Mke wangu wa Ndoa Nimekaa nae Miaka zaidi ya minne kumbe alikuwa na uhusiano na mwanamke Mwenzake mimi sijui mpaka alipoanza visa ndani ya Ndoa na mwishowe tukaachana.Nikapata stori...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tabia ya Lulu Michael yawa Kero Bongo Movies.

Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera Klabu ya Bongo Movie Unity hivyo kuandaa kikao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Kwenye Tuzo Zingine Kubwa Duniani.

Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameipa tena heshima kubwa bendera ya Tanzania kwa kuwa kwenye kipengele cha msanii bora wa Kimataifa [Best International Act ], Hii ni hatua kubwa kwa Diamond...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Mwanaume Aliyehai Mwenye Miaka Mingi Zaidi Duniani.

 Guinness World Records wamethibitisha kuwa Dr. Alexander Imich wa mjini New York ndio mwanaume aliyehai mwenye miaka mingi zaidi duniani. Dr Imich anamiaka 111.Dr. Imich amezaliwa February 4th, 1903....

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live